Fungu la Kumi/ Zaka na Sadaka, Michango ya Kanisani

Nijaribuni Kwa matoleo muone kama sitawafungulia madirisha ya Mbinguni☺️
 
Na wana vifungu vya kukudaka eti "leteni zaka kamili ghalani mwa BWANA ili kiwemo chakula,...mkanijaribu kwa njia hii" yaani umjaribu BWANA?! does it make sense wakati Yakobo inasema BWANA hamjaribu mtu wala yeye hajaribiwi, akili kumkichwa!
 
Sikuhizi wanaanzisha biashara, ninyi mliojichanga kutoa hiyo pesa mnakuwa sio sehemu ya umiliki wa hiyo biashara.
 
Unachagua vya kusoma tu ? Sasa mbona husemi Amri kumi pia ni za Wana waisrael tu. Walizopokelewa na Musa.
 
ukiwa nayo toa, ukiwa huna kaa kimya tu na itamake sense sana, na ikiwa hutaki kutoa hiyo sadaka si uitumie kafanya yale yanayokupendeza gentleman?

hakuna haja ya kubaika na masuala ya kujitolea ikiwa unaamini kwenye kubarikiwa tu 🐒
 
ukiwa nayo toa, ukiwa huna kaa kumya tu na itamake sense sana, na ikiwa hutaki kutoa hiyo sadaka si uitumie kafanya yale yanayokupendeza gentleman?

hakuna haja ya kubaika na masuala ya kujitolea ikiwa unaamini kwenye kubarikiwa tu 🐒
Akili unazo sema tu ukishaingia hapo Lumumba buku7 mnapokonywa ufahamu mnaanza kutapika pumba 😂
 
Tunapowambia watu kwamba Mwenyezi MUNGU, hana dini yoyote bali yeye ni upendo watu huwa wanakaza fuvu. Dini zote unazoziona zinatoa huduma chini ya hasira ya MUNGU. Na kwakua sio tu viongozi wa dini bali waumini pia ni watu na tabia zao mifukoni and most of them are religious peoples, and not true Christians or Muslims.

That why there is pain everywhere, sababu bado wapo gizani na hawataki kuamka na kubadilika, because they are not worshiping GOD in love,faith and truth. But only for selfish reasons of worshiping material things like money, car and so on and so forth.
 
Ni utajiri mkubwa sana sana. Mtaji wake ni ujinga wa watu. Na wajinga wamejaa sana dunia hii. Kila siku wanazaa wajinga wengine so biashara hii itakulipak

Tapel on the Road
 
Kama baba yako au mama yako au mtoto wako anakwenda makanisani tambua kuwa huyo ni mpumbavu kwa asilimia 100% makanisa yenyewe madhehebu neno dhehebu maana yake ni dini ya shetani
 
Wakristo wa livyo wapumbavu awajui hata KANISA JENGO NI NINI ? maana kuna kanisa lisilo jengo na kanisa jengo ...kuna kanisa la kimwili na kanisa la kiroho (katika roho na kweli)
Nataka nianze kuleta nyuzi kuelezea hizi dini mbili zilivyo potoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…