LiFe 2-point-0
JF-Expert Member
- Mar 22, 2024
- 5,012
- 13,830
Enhee..sasa hapo sadaka zinakujaje?Wakristo wa livyo wapumbavu awajui hata KANISA JENGO NI NINI ? maana kuna kanisa lisilo jengo na kanisa jengo ...kuna kanisa la kimwili na kanisa la kiroho (katika roho na kweli)
Nataka nianze kuleta nyuzi kuelezea hizi dini mbili zilivyo potoka
Wezi vipi wakati pesa tunawapelekea wenyewe?Ni unyonyaji na mambo ya ngano za kiyahudi. Hawa ni wezi wa kawaida waliojificha nyuma ya neno la Bwana.
Kuna aina mbili za wizi. Kuvamia ukatoa au kudanganywa ukatoa. Mwisho wa yote, ni kutoa kwa wasiofaa kupewa. Umeelewa?Wezi vipi wakati pesa tunawapelekea wenyewe?
Wizi ni jambo linalotokea bila mwenye mali kujua.Kuna aina mbili za wizi. Kuvamia ukatoa au kudanganywa ukatoa. Mwisho wa yote, ni kutoa kwa wasiofaa kupewa. Umeelewa?