Da Womanizer
JF-Expert Member
- May 24, 2010
- 1,577
- 150
Mkuu watu wote tungekuwa na attitude hii, mbona kulialia kungeisha zamani, na pia nyuzi nyingi sana tusingeziona humu. All in all nimeipenda sana perspective yako.Pendo,mapenzi,Kupenda naamini nikwamba penzi ni mara moja!!haijalishi upo katika status gani yule unaye mpenda kwa wakati huo ndiye roho yako imemwangukia!!Kwa maana hiyo ukiwana na mke nyumbani ukakutana na Afrodenzi ujue huyo ndo unayempenda wanyumbani huna mapenzi naye! hivyo narudi huku hakuna aliyeumizwa nikwamba mda wake wakupendwa umeisha ajipange upya hakuna kulalamika nimetendwa NO!!
Mimi nimepita kama vile sijaiona hiyo comment lol!!!
hahahaaaaaaa..... mambo mengine yanaishia chini ya kapeti aisee:biggrin1:Nimeharibu eeh?? lol sirudii...:shut-mouth: itakua tu siri...
hahahaaaaaaa..... mambo mengine yanaishia chini ya kapeti aisee:biggrin1:
The rest of the paragraph a guy kurudi ndo shida... ampende mwanamke wholeheartedly alfu atibuliwe, wataofuata woote watamtambua with his stupid poor negative attitude towards women with a few exceptions...
Inaonesha ni namna gani mapenzi yana nguvu sana, jana asubuhi nilimsikia mdada wa clouds kwenye PB anamuuliza Gerald Hando if he ca walk a thousands miles for someone he loves, hapo ndio nilijua watu wengi wanaumizwa, unajua alimjibuje, yeye hawezi tena mambo hayo na wala hataki kabisa kupenda, eti unaweza tembea hizo miles ukamkuta kule yule unayemtembele keshafika amemtembelea mwingine, nilicheka sana sana sana.....ukisikia watu kama hao watangazaji wanasema hivo kuhusu mapenzi, hapo unajua kabisa kwamba watu wengi wanaumizwa sana, kwa hiyo tusikate tamaa ya ku move onGaga amesema kitu cha muhimu sana unaweza kuwa na marafiki, unaweza kujipa raha mwenyewe lakini still you'll see something missing in the otherway round when you try to bring someone close he/she pushes you far away you go through a lot of misery.
Baba Enock amesema if you fail to control your OWN MIND, you may be sure you will control nothing else hii statement ina ukweli mwingi tu ndani yake.
DNA zimeumbua wengi ndio maana imefutwa na serikali mpaka kwa kesi za mahakamani kabisakuna ukweli kwenye hili ingawa as yo uhave qualified it, sio wote na c mara zote. ninao mfano live kabisa (ila sitaku kuudisclose ni wa nani katika maisha yangu). mkewe alizaa watoto mara 2 wakiwa kwenye ndoa yao - mind you NDOA na sio uBF/uGF. watoto ambao sio wa huyo mume. ingawa hivyo waliendelea kuwa ktk ndoa yao na walizaa watoto wengi wengine. nadhani ni issue ya timing, aina ya reconciliation itakayotolewa na willingness ya wrong doer kuomba radhi etc. mazingira hayo yote yata-determine outcome ya hayo mahusiano yaliyoingia majaribuni
Umeona eeeeDon't note that down... you were not supposed to see this!
Chizi wa nini watu wako standby wanasubiria tu MatyHahahaha incase hata one night stand siwezi pata, kitu ambacho sio rahisi walahi ni bora nimpe chizi hakyanani
kuna ukweli kwenye hili ingawa as yo uhave qualified it, sio wote na c mara zote. ninao mfano live kabisa (ila sitaku kuudisclose ni wa nani katika maisha yangu). mkewe alizaa watoto mara 2 wakiwa kwenye ndoa yao - mind you NDOA na sio uBF/uGF. watoto ambao sio wa huyo mume. ingawa hivyo waliendelea kuwa ktk ndoa yao na walizaa watoto wengi wengine. nadhani ni issue ya timing, aina ya reconciliation itakayotolewa na willingness ya wrong doer kuomba radhi etc. mazingira hayo yote yata-determine outcome ya hayo mahusiano yaliyoingia majaribuni
Umeona eeee
Orait OraitDon't note that down... you were not supposed to see this!
Cousin hapa katoa jibu muafakahahahaaaaaaa..... mambo mengine yanaishia chini ya kapeti aisee:biggrin1:
Zipu zingine kasheshe tupu halafu ukute zipu yenyewe ya jeans hapo sasaLakini haya mambo ya kufungua moyo haya....... mwisho unafungua hadi zipu!!
You get blown by the........Exactly... unajua other discussions you get carried away...lol
Gaga Gaga Gaga Gaga:biggrin1::biggrin1:Umeona eeee
Orait Orait
Cousin hapa katoa jibu muafaka
Zipu zingine kasheshe tupu halafu ukute zipu yenyewe ya jeans hapo sasa
You get blown by the........
The thing is
Unafungua moyo kwa funguo gani, ya zamani ama funguo mpya? Kama moyo umejifunga kwa sababu ufunguo wake wa kawaida haufungui tena, ufunguo mpya unaweza kuufungua ama inabidi huo mpya uwe ni kama 'fungo malaya' hivi ndo moyo ufunguke?
Na moyo ukikaa muda mrefu hali umefungwa, hauoti kutu?
am just thinking...
Aliimba SADE akisema NO ORDINARY LOVEInaonesha ni namna gani mapenzi yana nguvu sana, jana asubuhi nilimsikia mdada wa clouds kwenye PB anamuuliza Gerald Hando if he ca walk a thousands miles for someone he loves, hapo ndio nilijua watu wengi wanaumizwa, unajua alimjibuje, yeye hawezi tena mambo hayo na wala hataki kabisa kupenda, eti unaweza tembea hizo miles ukamkuta kule yule unayemtembele keshafika amemtembelea mwingine, nilicheka sana sana sana.....ukisikia watu kama hao watangazaji wanasema hivo kuhusu mapenzi, hapo unajua kabisa kwamba watu wengi wanaumizwa sana, kwa hiyo tusikate tamaa ya ku move on