The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,092
Nimeacha bwana siku hiziGaga Gaga Gaga Gaga:biggrin1::biggrin1:
The thing is
Unafungua moyo kwa funguo gani, ya zamani ama funguo mpya? Kama moyo umejifunga kwa sababu ufunguo wake wa kawaida haufungui tena, ufunguo mpya unaweza kuufungua ama inabidi huo mpya uwe ni kama 'fungo malaya' hivi ndo moyo ufunguke?
Na moyo ukikaa muda mrefu hali umefungwa, hauoti kutu?
am just thinking...
Ahaaa ahaaa namuona Kaizer hapo katiUsha anza utundu wako.... am telling you don't repeat... i repeat... Don't repeat...lol..
naona MTM alitakiwa anipe ushauri wa under the carpet before.. :A S 39:
Ahaaa ahaaa namuona Kaizer hapo kati
Hehehehe!! u've made my day....niliupenda sana huu mwimbo ila siku hizi hata siusikii sana
Elliiii!??? Pole mwali eeee ndio maisha yalivyo fungua moyo wako uwe happy tenaKuanzia siku ile sikupenda tena....na kila niliyemuona mbele yangu nilimuona kama mbwa, katili au kitu kisichokuwa na maana, baada ya so many sleepless night imagining how they are hanging out somewhere, wakipinduana hivi na vile....roho iliuma sana hasa pale nilipokumbuka zile siri zetu kwene mechi, iliniongezea uchungu wa hali ya juu na nikatamani niue au nijiue, nisimwone tena, kwa nini aniache? kwani nimemkosea nini? nimemnyima nini? mbona tulifanya hata yale ambayo jamii isingeyaruhusu, Mimi ndie niliyejua kupenda kuliko hata baba yangu alivyompenda mama yangu hadi kunizaa, maana hawakunizaa kwa bahati mbaya, kwanini alinifanyia vile? Nikatamani niende kwa kiongozi wangu wa kiroho nikatubu na kumrudia Muumba, mmmh eti sasa ndio nilikua naona kuwa nilichokuwa nakifanya ni makosa! Mapenzi jamani. Lakini nashangaa tu eti nimekupenda ghafla, nahitaji kuwa nawe, daima na milele nisahau maumivu yale, nimsahau kiumbe katili yule........Haya ni maneno ya Kiumbe fulani wakati wa MTONGOZANO. Haya niambie formula ya kupenda iko wapi hapa
Hii umenifanya nifikirie vitu vingi lakini hata hivyo ni maisha kila kitu kina sababu ila inauma sanaInaonesha ni namna gani mapenzi yana nguvu sana, jana asubuhi nilimsikia mdada wa clouds kwenye PB anamuuliza Gerald Hando if he ca walk a thousands miles for someone he loves, hapo ndio nilijua watu wengi wanaumizwa, unajua alimjibuje, yeye hawezi tena mambo hayo na wala hataki kabisa kupenda, eti unaweza tembea hizo miles ukamkuta kule yule unayemtembele keshafika amemtembelea mwingine, nilicheka sana sana sana.....ukisikia watu kama hao watangazaji wanasema hivo kuhusu mapenzi, hapo unajua kabisa kwamba watu wengi wanaumizwa sana, kwa hiyo tusikate tamaa ya ku move on
:dance::dance:Nimeacha bwana siku hizi
Elliiii!??? Pole mwali eeee ndio maisha yalivyo fungua moyo wako uwe happy tena
I just don't know what crossed my mind nikaanza kusikiliza huu wimboHehehehe!! u've made my day....niliupenda sana huu mwimbo ila siku hizi hata siusikii sana
Never get angry. Reason with The FinestYou can not imagine my excitement na hivi umeniudhi kule Hangover....
Hapa MJ1 nadhani unaongelea gentlemen and gentle-ladies 🙂biggrin1🙂, Otherwise ukikutana na nyang'au kama mimi (joke) umeumia manake ni fix juu ya fix and by the time u realise I was lying it is too late.Mbu
Umeuliza utajiaminishaje kama yuko mguu moja ndani, mwingine nje?
Hili swali nadhani si rahisi kulijibu kwani linahusisha moyo wa mtu.usiusemee moyo.....lakini nadhani kama mtaanza pamoja kwa kuelezana ukweli, pamoja na expectations zenu, mkatendeana mazuri, mkaongea lugha moja na kisha mkaadd up na ingredient ya Time...eventually utagundua tu kuwa s/he is in mwili na roho nzimaa na si miguu yote tu.
Upendo una definition pana sana, Lakini huu unaozungumzwa hapa ni ule ule unaokata mioyo yetu. Inategemeana unampandaje MJI au TF ! Kama rafiki? au Mwenza? Na pia hata hao wapenzi wetu hatuwapendi katika kipimo sawa, Wengine wanachukua nusu ya mioyo yetu! wengine robo na wengine uchukua moyo wote. Na ndiyo maana wale wanaochukua moyo wote wakiumega tunaumia.Inachukua muda mrefu kuponya kitu kizima kuliko kuponya nusu au robo.Nimependa mtazamo wako embu nikuulize kwani upendo una mafungu mangapi? na je unaposema unampenda Finest ina Maana unamchukia MJI na huwa ni rahisi ivi kukimbiza mapenzi yako na kuhamishia kwa mwingine?
la mwisho ni wewe ulipenda au yeye alikupenda akaharibu mapenzi na huwa tunatumia mizani gani kupima wewe ndo ulipenda zaidi kuliko uliyempenda?
Halafu huyu Mbu mchokozi sana sijui kaleta hii thread ili iweje, haya banaa Mbu:dance::dance::biggrin1::biggrin1:
Mbu yuko wapi? au anafunga mwezi ofisini
Mkuu Mbu kama umenisemea mimi vile, moyo wangu una ganzi kabisa, nipo jamaa yangu hapa nafanya mambo kumridhisha yeye coz ni mlalamishi sana,usipompigia simu analalamika, usipojibu message analalamika, usipomwambia i love you analalamika,kwa kuwa sipendi kulalamikiwa kila siku imenibidi tu niwe nafanya anayoyapenda ila kiukweli sifanyi kutoka ndani ya moyo wangu sijisikii kabisa kufanya hivyo. kila mda napata hisia kwamba anaweza kunitenda mda wowote, sijui nifanye nini niyafanye yote hayo kwa upendo
Eti wapendwa kuhusiana na hii mada, kuna ukweli kwamba kama hujaumizwa hujapenda?
Binafsi nimeumizwa, sidhani kama nimemuumiza mtu..Kama Gaga alivyosema, mtu unaweza kujipanga nitakuwa mwenyewe na kuwa na marafiki/family ila bado kuna kitu naonaga nakikosa maishani na ni nafasi pekee ambayo haizibiki yani sijui nielezee vipi..
Hivyo basi nimesamehe na nina imani ninaweza kukutana na mtu mwingine nikiufungua moyo wangu na kukutana na upande mwingine wa penzi..
Hivyo basi, kufungua moyo ni kuzuri baada ya kuumizwa sema unakuwa mwangalifu na kuwa +ve na uhusiano mpya...Japokuwa kidonda au historia ya kuumizwa haviishagi maishani!..