fungua moyo!

fungua moyo!

Kuanzia siku ile sikupenda tena....na kila niliyemuona mbele yangu nilimuona kama mbwa, katili au kitu kisichokuwa na maana, baada ya so many sleepless night imagining how they are hanging out somewhere, wakipinduana hivi na vile....roho iliuma sana hasa pale nilipokumbuka zile siri zetu kwene mechi, iliniongezea uchungu wa hali ya juu na nikatamani niue au nijiue, nisimwone tena, kwa nini aniache? kwani nimemkosea nini? nimemnyima nini? mbona tulifanya hata yale ambayo jamii isingeyaruhusu, Mimi ndie niliyejua kupenda kuliko hata baba yangu alivyompenda mama yangu hadi kunizaa, maana hawakunizaa kwa bahati mbaya, kwanini alinifanyia vile? Nikatamani niende kwa kiongozi wangu wa kiroho nikatubu na kumrudia Muumba, mmmh eti sasa ndio nilikua naona kuwa nilichokuwa nakifanya ni makosa! Mapenzi jamani. Lakini nashangaa tu eti nimekupenda ghafla, nahitaji kuwa nawe, daima na milele nisahau maumivu yale, nimsahau kiumbe katili yule........Haya ni maneno ya Kiumbe fulani wakati wa MTONGOZANO. Haya niambie formula ya kupenda iko wapi hapa
 
The thing is

Unafungua moyo kwa funguo gani, ya zamani ama funguo mpya? Kama moyo umejifunga kwa sababu ufunguo wake wa kawaida haufungui tena, ufunguo mpya unaweza kuufungua ama inabidi huo mpya uwe ni kama 'fungo malaya' hivi ndo moyo ufunguke?

Na moyo ukikaa muda mrefu hali umefungwa, hauoti kutu?

am just thinking...


Pretense if anything...
 
Usha anza utundu wako.... am telling you don't repeat... i repeat... Don't repeat...lol..
naona MTM alitakiwa anipe ushauri wa under the carpet before.. :A S 39:
Ahaaa ahaaa namuona Kaizer hapo kati
 
Kuanzia siku ile sikupenda tena....na kila niliyemuona mbele yangu nilimuona kama mbwa, katili au kitu kisichokuwa na maana, baada ya so many sleepless night imagining how they are hanging out somewhere, wakipinduana hivi na vile....roho iliuma sana hasa pale nilipokumbuka zile siri zetu kwene mechi, iliniongezea uchungu wa hali ya juu na nikatamani niue au nijiue, nisimwone tena, kwa nini aniache? kwani nimemkosea nini? nimemnyima nini? mbona tulifanya hata yale ambayo jamii isingeyaruhusu, Mimi ndie niliyejua kupenda kuliko hata baba yangu alivyompenda mama yangu hadi kunizaa, maana hawakunizaa kwa bahati mbaya, kwanini alinifanyia vile? Nikatamani niende kwa kiongozi wangu wa kiroho nikatubu na kumrudia Muumba, mmmh eti sasa ndio nilikua naona kuwa nilichokuwa nakifanya ni makosa! Mapenzi jamani. Lakini nashangaa tu eti nimekupenda ghafla, nahitaji kuwa nawe, daima na milele nisahau maumivu yale, nimsahau kiumbe katili yule........Haya ni maneno ya Kiumbe fulani wakati wa MTONGOZANO. Haya niambie formula ya kupenda iko wapi hapa
Elliiii!??? Pole mwali eeee ndio maisha yalivyo fungua moyo wako uwe happy tena
 
Mbu yuko wapi? au anafunga mwezi ofisini
 
Inaonesha ni namna gani mapenzi yana nguvu sana, jana asubuhi nilimsikia mdada wa clouds kwenye PB anamuuliza Gerald Hando if he ca walk a thousands miles for someone he loves, hapo ndio nilijua watu wengi wanaumizwa, unajua alimjibuje, yeye hawezi tena mambo hayo na wala hataki kabisa kupenda, eti unaweza tembea hizo miles ukamkuta kule yule unayemtembele keshafika amemtembelea mwingine, nilicheka sana sana sana.....ukisikia watu kama hao watangazaji wanasema hivo kuhusu mapenzi, hapo unajua kabisa kwamba watu wengi wanaumizwa sana, kwa hiyo tusikate tamaa ya ku move on
Hii umenifanya nifikirie vitu vingi lakini hata hivyo ni maisha kila kitu kina sababu ila inauma sana
Nimeacha bwana siku hizi
:dance::dance:
 
Mbu
Umeuliza utajiaminishaje kama yuko mguu moja ndani, mwingine nje?
Hili swali nadhani si rahisi kulijibu kwani linahusisha moyo wa mtu.usiusemee moyo.....lakini nadhani kama mtaanza pamoja kwa kuelezana ukweli, pamoja na expectations zenu, mkatendeana mazuri, mkaongea lugha moja na kisha mkaadd up na ingredient ya Time...eventually utagundua tu kuwa s/he is in mwili na roho nzimaa na si miguu yote tu.
Hapa MJ1 nadhani unaongelea gentlemen and gentle-ladies 🙂biggrin1🙂, Otherwise ukikutana na nyang'au kama mimi (joke) umeumia manake ni fix juu ya fix and by the time u realise I was lying it is too late.
 
Nimependa mtazamo wako embu nikuulize kwani upendo una mafungu mangapi? na je unaposema unampenda Finest ina Maana unamchukia MJI na huwa ni rahisi ivi kukimbiza mapenzi yako na kuhamishia kwa mwingine?
la mwisho ni wewe ulipenda au yeye alikupenda akaharibu mapenzi na huwa tunatumia mizani gani kupima wewe ndo ulipenda zaidi kuliko uliyempenda?
Upendo una definition pana sana, Lakini huu unaozungumzwa hapa ni ule ule unaokata mioyo yetu. Inategemeana unampandaje MJI au TF ! Kama rafiki? au Mwenza? Na pia hata hao wapenzi wetu hatuwapendi katika kipimo sawa, Wengine wanachukua nusu ya mioyo yetu! wengine robo na wengine uchukua moyo wote. Na ndiyo maana wale wanaochukua moyo wote wakiumega tunaumia.Inachukua muda mrefu kuponya kitu kizima kuliko kuponya nusu au robo.
Katika mapenzi kila mtu anakujaza katika moyo wake hivyo inategemeana wewe au yeye amechukua sehemu gani ya moyo wako, aliyechukua sehemu kubwa huyo bila shaka amezidi.
 
Halafu huyu Mbu mchokozi sana sijui kaleta hii thread ili iweje, haya banaa Mbu:dance::dance::biggrin1::biggrin1:

ha ha ha,....pheeeeewwwww! nimesoma comments zenu nyoooote,....mnh!
Balaaa.,....!

The Finest. Unajua kwanini nimeileta hapa? Maneno Mkuki, aliyokuwa analalamika
huyu besti, ndio ulikuwa msimamo wangu.... moyo wangu ulikuwa umekufa ganzi
kabisa bana,...cha ajabu,...few weeks ago ametokea soulmate kayeyusha kila kitu...

Sasa hata sijielewi elewi kaja na anti-numb injection? ...akili yangu yote ni kwake/kapangisha kichwani mwangu bila kodi!
Mbaya zaidi, kila nikijaribu kupiga mabreki ninavyompenda...naona hazishiki...
Lyrics za 'Lets Wait A while!' hapo chini...ndio dua yangu..

Mbu yuko wapi? au anafunga mwezi ofisini

Gaga, Mbu is In-Love, breathing it, inhaling and exhaling love :mwaaah: 'in and out...'
 
Mkuu Mbu kama umenisemea mimi vile, moyo wangu una ganzi kabisa, nipo jamaa yangu hapa nafanya mambo kumridhisha yeye coz ni mlalamishi sana,usipompigia simu analalamika, usipojibu message analalamika, usipomwambia i love you analalamika,kwa kuwa sipendi kulalamikiwa kila siku imenibidi tu niwe nafanya anayoyapenda ila kiukweli sifanyi kutoka ndani ya moyo wangu sijisikii kabisa kufanya hivyo. kila mda napata hisia kwamba anaweza kunitenda mda wowote, sijui nifanye nini niyafanye yote hayo kwa upendo

Eti wapendwa kuhusiana na hii mada, kuna ukweli kwamba kama hujaumizwa hujapenda?

Binafsi nimeumizwa, sidhani kama nimemuumiza mtu..Kama Gaga alivyosema, mtu unaweza kujipanga nitakuwa mwenyewe na kuwa na marafiki/family ila bado kuna kitu naonaga nakikosa maishani na ni nafasi pekee ambayo haizibiki yani sijui nielezee vipi..
Hivyo basi nimesamehe na nina imani ninaweza kukutana na mtu mwingine nikiufungua moyo wangu na kukutana na upande mwingine wa penzi..

Hivyo basi, kufungua moyo ni kuzuri baada ya kuumizwa sema unakuwa mwangalifu na kuwa +ve na uhusiano mpya...Japokuwa kidonda au historia ya kuumizwa haviishagi maishani!..

Chimala na BelindaJacob naomba ni Quote posting zenu, kwani zimenigusa pale nilipoikuwa napataka.


Swali ambalo ningewauliza, au wachangiaji wengine nao wanaweza kuchangia ni;
  • Je, Ungependa mpenzi wako mpya afanye nini ili aweze kuziba pengo lililojitokeza?
  • Je, utakuwa tayari kumwambia the truth, nothing but the truth yote yaliyokukwaza kwenye relationship yako iliyopita ili mwenzio ajue wapi penye kovu, na wapi penye kidonda?
  • Je, Wewe mwenyewe (binafsi,) unachukua jitihada gani kuhakikisha unakubaliana na maisha na mapenzi mapya?
 
Back
Top Bottom