sio mtaalam wa saikolojia lakini hii inshu inategemea position ya mhusika katika mahusiano yaliyovunjika. kama mhusika amekerwa so much na ameamua kuacha, anakuwa na walau nguvu ndani yake ya kuweza kumsukuma kusimamia kile alichokiamini kuwa ni sahihi au kile anachotaka kukitetea. Kwa hili his mind inaweza kucontrol his will (heart). lakini hali itakuwa kinyume kama yeye ndo aliyeachwa. manake kwanza kuna shock ya kuachwa. kichwa kinatafakari sababu ya kuachwa huku moyo ukiuma kwa kuachwa. hapo control ya mind inaweza kuwa ngumu sana na huenda ikategemea strength ya mtu na mtu na pia genders. wanaume tunaweza pata kinguvu ndani yetu cha kutuwezesha to keep going. unaweza hamia kwenye kinywaji for a while na of course womanisation ya hasira, kama vile unatoa adhabu kwa hawa watu wasio na shukrani. lkn with time (very essential) akili (the mind) inarudi na unaanza kuwa na control ya will (the heart) na hapo unaanza kujipanga upya. kwa wenzetu wa-beijing depression ya kuachwa inaweza pelekea kuzidi kujizamisha chini, kujiona kama kawa kinyaa, reject etc. hii inaweza mpelekea kuwa na further depressions na hater wa wanaume. ukutanapo na mtu wa aina hii, u have to be very patient, kama you are really into her. vinginevyo wala hutopoteza muda. my take is to help anyone in such a situation to realise that 'falling down does not mean burial.' (hey am gonna take this as my signature!!). parents and close friends would be very useful in situations like this.