Funguka kitugani hutakuja kukisahau katika maisha yako

Kimambo jr

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2015
Posts
207
Reaction score
67
Funguka kitu chochote ambacho hutaweza kukisahau katika maisha yako yote. Karbun
 
1.Nilinusurika kufa baharini-msasani beach nilikuwa sijui kuogelea vzr nikaenda maji ya kimo cha shingo badaye maji yakarudi kwa kasi na kunifunika ile kujiokoa nikabanwa na misuri ya miguu.nimenusurika ajali nyingi lakini hi sito isahau.
2.nilisafiri kutoka msoma mpaka dar kwa shs elf 13 baada ya kutofautiana na mama nikiwa na miaka 18 baada ya kumaliza form 4 Mara sec-musoma, matokeo ya form 4 ya kupangiwa shule nikapangiwa huko huko dar
3.nilikuwa najisemea kuwa nikimaaliza chuo sitoka kaa zaidi ya miezi 2 bila kuajiliwa,kweli maneno yanaumba baada ya miezi 1 na wiki 2 toka kumaliza chuo interview yangu ya kwanza nikapata kazi.
 
Hela ya mboga na vijisenti. Huwa nashindwa kutofautisha kamwe
 
Pale Nilipomwona " Live " Mgombea Urais Mmoja AKIJISAIDIA HAJA ZOTE Za KIBINADAMU Ktk Mkutano Wake Wa Hadhara Mkoani GEITA. Hakika Sitalisahau Hili Tukio Kwani LIMENISIKITISHA Na KUNISONONESHA Mno Kama Siyo Sana.

Nyooo mja laana weyeee
 
Kingunge Ngombale Mwiru..
huyu mzee ni phenomenon...!!
 
Siku nilipokamata SMG na kupiga risasi kadhaa. Kwangu ni jambo la kumbukumbu.
 
Nlisingiziwa kitu mwaka 2000 nkiwa std 5 nilishasamehe ila nashindwa kusahau, mwaka huu tena nmesingiziwa kitu kinaniuma sana sana nashindwa kusahau sijui kama nitasahau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…