Funguka kuhusu uchafu wa mwili unaoweza kutenganisha mahusiano, mapenzi na urafiki

RIGHT MARKER

Senior Member
Joined
Apr 30, 2018
Posts
129
Reaction score
473
MHADHARA (103)✍️
Kwenye MAHUSIANO, MAPENZI, NA URAFIKI suala la usafi wa mwili ni jambo muhimu sana na linapaswa kupewa kipaumbele kwa kila mmoja wetu.

Kuna watu wameachika kimya kimya kwenye mahusiano na ndoa, na wengine wamepoteza marafiki wa faida kwasababu ya uchafu wa mwili.

Uchafu wa mwili
ni kama vile kunuka kinywa (mdomo), nywele, kwapa, maziwa, masikio, sehemu za siri, jasho la mwili, n.k...Na pengine sio uchafu wa asili bali ni kwasababu baadhi ya watu hawapendi kujali usafi baada ya kumaliza mihangaiko yao.

Wakati mwingine ni watu wetu wa karibu lakini tunaogopa kuwaambia. Kupitia uzi huu funguka kitu ambacho hukipendi kinachohusiana na uchafu wa mwili, na unachokipenda kuhusu usafi wa mwili ili wengine wajifunze.

RIGHT MARKER
DAR ES SALAAM
 
Kunuka mdomo hapana jamani
Ukizingatia napenda makiss😂😂
Umenichanganya sana eneo la kiss hapo. Mwanamke anayependa kukiss mimi huwa ananivuruga sana akili yangu.

Umenikumbusha binti m'moja anitwa very nice nilikutana nae Kilimanjaro mitaa ys boma ng'ombe . Aaaah mtoto anakiss yule sijawahi ona.

Tulikiss iyo siku i think ni kama nusu saa hivi nonstop sijawahi kukiss muda mrefu halafu ile deep sucking kiss.
Alinikamia hadi nikasema kubabake au ndio soulmate huyu?🤔
 
Una mwambia tu unaogopa nini?
 
Mkuu uyu demu wa apoo Boma ngombe kumbe na wew ushapiga??
 
Mimi kwenye kumpenda mtoto wa kike nazingatia high hygne kuliko hata tako😁😁

Yaani ukiwa mchafu nakuacha bila taarfa 😁😁
 
Kwapa kwapa kwapa....wanawake tunaomba makwapa muyaweke safi maana mzazab nape da kulamba kwapa as part of foreplay.
 
MHADHARA (103)✍️
Kwenye MAHUSIANO, MAPENZI, NA URAFIKI suala la usafi wa mwili ni jambo muhimu sana na linapaswa kupewa kipaumbele kwa kila mmoja wetu.

Kuna watu wameachika kimya kimya kwenye mahusiano na ndoa, na wengine wamepoteza marafiki wa faida kwasababu ya uchafu wa mwili.

Uchafu wa mwili
ni kama vile kunuka kinywa (mdomo), nywele, kwapa, maziwa, masikio, sehemu za siri, jasho la mwili, n.k...Na pengine sio uchafu wa asili bali ni kwasababu baadhi ya watu hawapendi kujali usafi baada ya kumaliza mihangaiko yao.

Wakati mwingine ni watu wetu wa karibu lakini tunaogopa kuwaambia. Kupitia uzi huu funguka kitu ambacho hukipendi kinachohusiana na uchafu wa mwili, na unachokipenda kuhusu usafi wa mwili ili wengine wajifunze.

RIGHT MARKER
DAR ES SALAAM
Really as a fact
 
Back
Top Bottom