RIGHT MARKER
Senior Member
- Apr 30, 2018
- 129
- 473
MHADHARA (103)✍️
Kwenye MAHUSIANO, MAPENZI, NA URAFIKI suala la usafi wa mwili ni jambo muhimu sana na linapaswa kupewa kipaumbele kwa kila mmoja wetu.
Kuna watu wameachika kimya kimya kwenye mahusiano na ndoa, na wengine wamepoteza marafiki wa faida kwasababu ya uchafu wa mwili.
Uchafu wa mwili ni kama vile kunuka kinywa (mdomo), nywele, kwapa, maziwa, masikio, sehemu za siri, jasho la mwili, n.k...Na pengine sio uchafu wa asili bali ni kwasababu baadhi ya watu hawapendi kujali usafi baada ya kumaliza mihangaiko yao.
Wakati mwingine ni watu wetu wa karibu lakini tunaogopa kuwaambia. Kupitia uzi huu funguka kitu ambacho hukipendi kinachohusiana na uchafu wa mwili, na unachokipenda kuhusu usafi wa mwili ili wengine wajifunze.
RIGHT MARKER
DAR ES SALAAM