Hayo maneno yako yatanichukua mda kuyaamini halafu nyie ni wanafiki mnaleta chokochoko ili nimteme my wife
Thread closed
Thread closed
Na nani shem?
Afu shem nina ujumbd wako.
Thread closed
we ndio wale polisi kidole nini??si hawa machalii wa Chunga....niPM basi maana kwa simu leo sipatikani, leo natumia radio call
Hah hah hah hah! Mnaongezeka tu!? sweetlady, Nicas Mtei, wewe na bado watakuja wengine na mtapita. marejesho ananimiminia ndovu, ngoja nikujibu hiyo "Pinda"
ni ya kweli kabisa mkuu..... in short andika huna mke....... sweetlady anatakiwa aoe siyo kuolewa
mi namiliki wife na madogo wawili...