FUNGUKA;.leo kila mtu ajisifie...

Ni kazi yangu kuzunguka huku na kule kuhakikisha kuwa walioko katika mahusiano wanayafurahia kwa raha zao

sasa mbona unachokoa mahusiano ya watu! Taratibu mkuu!
 
Mambo vp Mkuu! Unakubalije kushindwa kirahisi hivyo kama mgombea wa tpp maendeleleo! Komaa mkubwa!?

ha ha ha....wakati mwingine kujondoa ndio dawa pekee inayokuwa sahihi....we endelea tu....utarudi hapa kuomba ushauri
 

Mwongo wewe! Huna ubabe wowote!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…