Funguka mwanamke unaempenda humu JamiiForums

kui njoo uone naanza kutishiwa humu

atoto asikutishe wifi mwaya,hamna noma wala nini we jitose tu. I promise U won't regret. 🙂

Maana naona story zimekukolea una hamuuuuuu, ukikutana na kibamia utoe mrejesho.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]

Hahahah!, unakimbia nini hebu rudi hapa nikupe vipande vyako. Eti kimboga, toka lini masamaki ya Li viktoria yakaotesha mboga?!, kaone kwanza..
 
atoto asikutishe wifi mwaya,hamna noma wala nini we jitose tu. I promise U won't regret. 🙂

Hahahah!, unakimbia nini hebu rudi hapa nikupe vipande vyako. Eti kimboga, toka lini masamaki ya Li viktoria yakaotesha mboga?!, kaone kwanza..
Zinaota sana tu!!
Teh teh teeeeh!! Huu ukuwadi uliuanza lini we mwanamke!!
 
Reactions: kui
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…