Huhuhuhuh...! slow slow is the motion (polepole ndiyo mwendo)Sijapata hata mmoja
Na nina andaa uzi maalum niwachene wote kaeni mkao wa kuchanwa
Nitaanza na miss chagga
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kama namuona *#$%&& Katika hiliMwenzio Siasa alikutana na nyonyo kama tikiti la morogoro...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jf kuna watu wana tabia mbaya sana
Kumbe ngoja na Mimi nianze kunyata mdogo mdogoMademu humu usiwe na papara maana wanajidai wajuaji but si kitu siye simba waenda pole tunapata vitoweo kiulaini kabisa.
Pole taratibu ila ujue only 10% ni warembo tuKutongoza jamii forum. Hakuna tofauti na kubet.
Kuna siku nilikula ban humu nikafungua account mpya. Nilipoingia nikakutana na tangazo la mdada anatafuta bwana.
Fasta nikaenda pm. Nikampa namba zangu. Fasta akanicheki . Cha ajabu yeye kaweka picha ya mwanaume. Nilipo muuliza akasema ni kaka yake. Maana niliogopa. Akaniambia tuma picha yako. Sababu mm siweki picha zangu. Nilipomtumia akaniambia huko vizuri lakini haujanivutia. Nikamwambia nitumie picha yako na wewe nikuone akagoma. Nikaachana nae
Kutongoza siyo kutiana boss..! Kumtongoza mwanamke ni hatua ya awali kabisa kabla ya kuonana mkishindwana kwani kuna shida gani?Siwezi kutongoza mwanamke nisiye mfahamu hata picha tu sijaona nikashawishika pengine unifahamishe ni kipi huwa kinakushawishi kutongoza mwanamke usiye muona
Utamwalika akitokea sio matarajio yako ana umri wa mama mdogo inakuwaje hapo harafu anakuganda mbona mitaani wengi tu hao ana kwa anaKutongoza siyo kutiana boss..! Kumtongoza mwanamke ni hatua ya awali kabisa kabla ya kuonana mkishindwana kwani kuna shida gani?
Kwani umetajwa jina..Humu wanataka kukutana na kuchunguzana tu,na akishakula ni kuja kukutangaza humu
Kwani umetajwa jina..
Wewe ni mzinzi maana unawaza kuita upige mzigo, wengine mzigo ni matokeo na makubaliano ya mtongozano na baada ya kuonana..!Utamwalika akitokea sio matarajio yako ana umri wa mama mdogo inakuwaje hapo harafu anakuganda mbona mitaani wengi tu hao ana kwa ana