Funguka: Tangu uanze kutongoza/kutongozwa hapa JF, umefanikiwa mara ngapi?

Bado kwa thread na comments hizi kuna wadada watakubali kuchubuliwa😉😉

Ila wanaojitambua hamuwapati teeena,,hehe
Km hamtaki tunaamia instagram na whatsaap group bora kule unaona sura ndiyo unachagua..
 
Kutongoza jamii forum. Hakuna tofauti na kubet.
Kuna siku nilikula ban humu nikafungua account mpya. Nilipoingia nikakutana na tangazo la mdada anatafuta bwana.
Fasta nikaenda pm. Nikampa namba zangu. Fasta akanicheki . Cha ajabu yeye kaweka picha ya mwanaume. Nilipo muuliza akasema ni kaka yake. Maana niliogopa. Akaniambia tuma picha yako. Sababu mm siweki picha zangu. Nilipomtumia akaniambia huko vizuri lakini haujanivutia. Nikamwambia nitumie picha yako na wewe nikuone akagoma. Nikaachana nae
 
Mwenzio Siasa alikutana na nyonyo kama tikiti la morogoro...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Jf kuna watu wana tabia mbaya sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kama namuona *#$%&& Katika hili
 
Siwezi kutongoza mwanamke nisiye mfahamu hata picha tu sijaona nikashawishika pengine unifahamishe ni kipi huwa kinakushawishi kutongoza mwanamke usiye muona
 
Kutongoza jamii forum. Hakuna tofauti na kubet.
Kuna siku nilikula ban humu nikafungua account mpya. Nilipoingia nikakutana na tangazo la mdada anatafuta bwana.
Fasta nikaenda pm. Nikampa namba zangu. Fasta akanicheki . Cha ajabu yeye kaweka picha ya mwanaume. Nilipo muuliza akasema ni kaka yake. Maana niliogopa. Akaniambia tuma picha yako. Sababu mm siweki picha zangu. Nilipomtumia akaniambia huko vizuri lakini haujanivutia. Nikamwambia nitumie picha yako na wewe nikuone akagoma. Nikaachana nae
Pole taratibu ila ujue only 10% ni warembo tu
 
Siwezi kutongoza mwanamke nisiye mfahamu hata picha tu sijaona nikashawishika pengine unifahamishe ni kipi huwa kinakushawishi kutongoza mwanamke usiye muona
Kutongoza siyo kutiana boss..! Kumtongoza mwanamke ni hatua ya awali kabisa kabla ya kuonana mkishindwana kwani kuna shida gani?
 
Utamwalika akitokea sio matarajio yako ana umri wa mama mdogo inakuwaje hapo harafu anakuganda mbona mitaani wengi tu hao ana kwa ana
 
Wewe ni mzinzi maana unawaza kuita upige mzigo, wengine mzigo ni matokeo na makubaliano ya mtongozano na baada ya kuonana..!
 
Back
Top Bottom