Nilimfungia mshkaji wangu tulipokutana huko badae ndio nikamfunguliaHata Yule ulimfungia pm pia au?
Asante mkuu ubarikiweHivi kuliwa ni dhambi nyie vicheche ndiyo mnaficha uovu wenu ili mkatuue..!
Inaonekana ata maana ya kutongoza hujui/huelewi aliyekwambia kutongoza ni kumfuata mtu pm na kumwambia unampenda nani??Mi sijawahi tongoza wala siitaji mtu pm(demu) aje kunitongoza. Sababu mimi siamini katika kutongozana mapenzi huwa yanakuja automatically due to the same feelings.
Yani huja yenyewe kama wawili hisia zao zikiwa pamoja. Mimi nakupenda nawewe unanipenda sio mimi nimekupenda ndo niku-convet nawewe unipende kama navyokupenda mimi hiyo kwangu si sawa hata kidogo.
basi heriHawajulikani kwako usijedhania watu hatujuani humu..!
Hizi mambo zinafanya watu tuogopane kuonana nje ya jfWamekusikia mkuu wenye ujumbe wao me ndio mana mambo hizi naogopa sana yaan acha tuendelee kuwa waoga tu mtu anataka kukujua ili akuchunguze ulivyo akuje kukubandika bango ndio mana hata pm tumefunga kuogopa hizi mambo
Wanaokula hawasemi, wanaosema hawajala.Humu wanataka kukutana na kuchunguzana tu,na akishakula ni kuja kukutangaza humu
Ushawaona eeeWanaokula hawasemi, wanaosema hawajala.
Hivi wanawake wenyewe huwa hawachagui wanapotongozwa au ni wanaume tu? Mbona wanaume wengi wakitufuata wananuka midomo, vikwapa utazani wanatembea na mazizi ya nguruwe mbona hatutoi mabango humu, kama hawana kifua barabarani mbona wapo wengi kope mpaka kwenye nyusi wangewafuata haoWamekusikia mkuu wenye ujumbe wao me ndio mana mambo hizi naogopa sana yaan acha tuendelee kuwa waoga tu mtu anataka kukujua ili akuchunguze ulivyo akuje kukubandika bango ndio mana hata pm tumefunga kuogopa hizi mambo
Waungwana wenyewe tulipewa ilani kama jando kwamba siri ya mtungi aijuaye kata.Ushawaona eee
Si ajabu huwa wanatongozana wanaume kwa wanaume bila kujijua kama kukimbiza mwizi gizani unaweza kimbizana baba na mwana mnajikuta mnakimbilia nyumba mojaAisee mna moyo kutongoza binadamu wasiojulikana
Hizo mojawapo kaka akeeHizi mambo zinafanya watu tuogopane kuonana nje ya jf
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ulwesoHivi wanawake wenyewe huwa hawachagui wanapotongozwa au ni wanaume tu? Mbona wanaume wengi wakitufuata wananuka midomo, vikwapa utazani wanatembea na mazizi ya nguruwe mbona hatutoi mabango humu, kama hawana kifua barabarani mbona wapo wengi kope mpaka kwenye nyusi wangewafuata hao