Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,111
- 28,020
Best mzima wewe! Mabaya yote ke ila mazuri ndiyo me[emoji238] [emoji238] [emoji238] [emoji238][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ulweso
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Best mzima wewe! Mabaya yote ke ila mazuri ndiyo me[emoji238] [emoji238] [emoji238] [emoji238][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ulweso
Mzima mamy za wewe jamaan yaan mambo ya humu jf yanasikitisha sanaBest mzima wewe! Mabaya yote ke ila mazuri ndiyo me[emoji238] [emoji238] [emoji238] [emoji238]
Yaani siku itokee tuonane uso kwa uso unaweza shangaa jamani huyu ndiye yule guu limepasuka kama lami [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mzima mamy za wewe jamaan yaan mambo ya humu jf yanasikitisha sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila humu wote matajiri ujue labda me na wewe tu ndio masikiniYaani siku itokee tuonane uso kwa uso unaweza shangaa jamani huyu ndiye yule guu limepasuka kama lami [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Haya ngoja tuwe masikini lakini tutakuwa wasafi kuzidi hao matajiri[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila humu wote matajiri ujue labda me na wewe tu ndio masikini
Umeninote vibaya sijamaanisha kutongoza ni kumfata mtu pm btw wacha tu kubishana na mimi.Inaonekana ata maana ya kutongoza hujui/huelewi aliyekwambia kutongoza ni kumfuata mtu pm na kumwambia unampenda nani??
Kutongoza kwa hivyo kwa wale jamii ya pimbi na huwa wanaishia vibuti vya mbavuu..
Maisha ya kuigiza[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila humu wote matajiri ujue labda me na wewe tu ndio masikini
Ndiyo yale kutwa na bahasha mikononi na mabage mgongoni utazani wazamiaji bora hata ke huweka lipshine, poda n.k ss wenzetu sijui huweka nini wananuka majasho hao[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Maisha ya kuigiza[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hhheeeeee sawa kabisaWaungwana wenyewe tulipewa ilani kama jando kwamba siri ya mtungi aijuaye kata.
Ikizidi sana, mambo ya kiumeni huongewa kiumeni.
Sasa iweje siri ya mtungi uende kuitangaza kwa kijiko, uma, sahani mpaka barabarani wapita majia wote waijue?
Ukiona mwanamme anatangaza hivyo ujue hajapata mafunzo ya uanaume huyo.
Hawa ndio wale msichana akiwaambia "nipe picha ya dudu lako nione kama kubwa" wanampigia na kumtumia.
Issue si kugegedana, kugegedana hata mbwa wanagegedana mbona?Wewe naona uchukulia kugegedana ni top secrete, wengine jambo dogo sana.
Sifa ya beberu kiarufu sasa wewe mdada mdada unuke uchi utakimbiwa mpk ushangae.Hivi wanawake wenyewe huwa hawachagui wanapotongozwa au ni wanaume tu? Mbona wanaume wengi wakitufuata wananuka midomo, vikwapa utazani wanatembea na mazizi ya nguruwe mbona hatutoi mabango humu, kama hawana kifua barabarani mbona wapo wengi kope mpaka kwenye nyusi wangewafuata hao
Ushamba tu, unakusumbua sasa tuliokulana haituumi wewe unawashwa umekunwa wapi??Waungwana wenyewe tulipewa ilani kama jando kwamba siri ya mtungi aijuaye kata.
Ikizidi sana, mambo ya kiumeni huongewa kiumeni.
Sasa iweje siri ya mtungi uende kuitangaza kwa kijiko, uma, sahani mpaka barabarani wapita majia wote waijue?
Ukiona mwanamme anatangaza hivyo ujue hajapata mafunzo ya uanaume huyo.
Hawa ndio wale msichana akiwaambia "nipe picha ya dudu lako nione kama kubwa" wanampigia na kumtumia.
Mshamba wewe unayejiita bigmind na sophist.Ushamba tu, unakusumbua sasa tuliokulana haituumi wewe unawashwa umekunwa wapi??
Huhuhuh...! Sawa mjukuu wa malkia, english kwangu sawa na kisukuma au kichagga. Haina ata radha. Wanao kunana wasiwashwe wewe umewashwa wapi bila kukunwa..!Mshamba wewe unayejiita bigmind na sophist.
Sophists donot callthemselves sophists,they are too sophisticated for that.
Anyone calling himself a sophist is a charlatan, a snake's oil salesman, a pretender, an usurper.