maroon7 JF-Expert Member Joined Nov 3, 2010 Posts 11,345 Reaction score 15,851 Oct 25, 2013 #1 Sometimes mtu unajikuta unashangaa kitu ambacho hukutegemea utashangaa... mi juzi wakati naenda job nimepishana na mzungu anaendesha gx 100 nikajikuta nashangaa.... Wewe je? ulishangaa nin
Sometimes mtu unajikuta unashangaa kitu ambacho hukutegemea utashangaa... mi juzi wakati naenda job nimepishana na mzungu anaendesha gx 100 nikajikuta nashangaa.... Wewe je? ulishangaa nin
Judgement JF-Expert Member Joined Nov 13, 2011 Posts 10,326 Reaction score 4,789 Oct 25, 2013 #2 Nilishangaa kwanini Kikwete kutonipa hata Unaibu Waziri , akanipa U'DC !