Fungukaaa mtokako.

tan 90

Senior Member
Joined
Jul 29, 2012
Posts
182
Reaction score
36
Ndugu wanajamvi,leo ni siku yenu mliooa au kuolewa au unaishi na umpendaye kwa dhati kama mke na mume kufunguka jinsi ulivyopata kumuona/kukutana na mke/mume wako umpendaye hadi sasa. . . .mfano wapi(mazingira) ilikuaje na ulikua mwezi gani kama unakumbukumbu safi. . . . .
Jiachie uwanja wako.
 
ngoja wakuje..sisi wengine ni bachela's wazoefu...
 
mimi wangu tulikutana kwa mganga wa kienyeji......mwezi ukiwa cherema.....
 
Ishu ilianzia kwenye lift...the rest ikawa ni mwendo wa kunywa mvinyo
 
nilikutana naye ktk uzinduzi wa club(siyo ya pombe) flani from that moment..............
 
Hutapata ushirikiano wa kutosha kwa sababu wewe hutaki kusema yako. Hii inamaanisha si vema kusema nasi tunanyamaza. Ukifunguka nasi tutafunguka.
 
unataka tukufundishe utundu wakati wewe single tafuta jinsi ya kuwapata single wenzio mi married siwezi kukufundisha wewe jinsi nilivyompata mama yako.
 
sawa wakuu sasa ilikua hv,nilikua nimepata dili la kujipatia shiling mbili tatu sehemu fulani jijini arusha,ila nikawa nimepatiwa apartmnt ya muda eneo 1 liitwalo sanawari,nyumba za karibu na nyumba niliopata kulikua na sherehe(kubariki ndoa) siku mbili baada ya mimi kufika,so kutokana na kujichanganya kwangu kwa watu nikapata rafiki ambye alikua ni wa familia ile,so jamaa akaniomba nimpe kampni ktk tafrija hyo,cku ilipofika alikuja kunichukua tukaenda eneo la tukio,tulipofika hapo jamaa hakutaka tukae meza ya wanandugu,tukatafuta meza inayopendza,bahat nzur tukapata meza maeneo ya nyuma ambyo ilikua na wadada wa2 ambao kiukweli walikua wazur,tukakaa nao tukazoeana kutokana na maongez ya hapa na pale,mda ukafka wa2 wajimwage uwanjani,ktk kudance nikawa naulza viswal vdgdgo,nikaulza reltnstats yke akasema ni cngo,nikajikuta naongeza nguv kw mrembo,2kabdilishana namb thn 2kawa tunafahamiana taratb kwa kpnd chote nilichokua a twn,thnx god she axptd me,na dili lilipoisha nikaondoka nae,had sasa ndo mama wa mtoto wangu mtarajiwa,eeh mungu amsaidie ajifungue salama,nataka kurudi shule tuombeane wana jamvi. . . . . .nimefunguka kihvyo nitokako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…