sawa wakuu sasa ilikua hv,nilikua nimepata dili la kujipatia shiling mbili tatu sehemu fulani jijini arusha,ila nikawa nimepatiwa apartmnt ya muda eneo 1 liitwalo sanawari,nyumba za karibu na nyumba niliopata kulikua na sherehe(kubariki ndoa) siku mbili baada ya mimi kufika,so kutokana na kujichanganya kwangu kwa watu nikapata rafiki ambye alikua ni wa familia ile,so jamaa akaniomba nimpe kampni ktk tafrija hyo,cku ilipofika alikuja kunichukua tukaenda eneo la tukio,tulipofika hapo jamaa hakutaka tukae meza ya wanandugu,tukatafuta meza inayopendza,bahat nzur tukapata meza maeneo ya nyuma ambyo ilikua na wadada wa2 ambao kiukweli walikua wazur,tukakaa nao tukazoeana kutokana na maongez ya hapa na pale,mda ukafka wa2 wajimwage uwanjani,ktk kudance nikawa naulza viswal vdgdgo,nikaulza reltnstats yke akasema ni cngo,nikajikuta naongeza nguv kw mrembo,2kabdilishana namb thn 2kawa tunafahamiana taratb kwa kpnd chote nilichokua a twn,thnx god she axptd me,na dili lilipoisha nikaondoka nae,had sasa ndo mama wa mtoto wangu mtarajiwa,eeh mungu amsaidie ajifungue salama,nataka kurudi shule tuombeane wana jamvi. . . . . .nimefunguka kihvyo nitokako.