rafikimkweli
JF-Expert Member
- Sep 5, 2013
- 349
- 121
Mambo ya funguo wee yaache tu!
Mambo ya funguo yana vioja zaidi ya hivyo!
Pale funguo ndooogoo!
Inapolifungua kufuli kuubwaaa!
Na funguo haifungui kwa kugusanisha na kufuli/kitasa!
Ina shuruti !
Mpaka uitie toboni/tunduni!
we acha tu nlihongwa ufunguo wa gari nikajiona mie ndo mie mjini hapa looo mjamaa siku alipopata chombo kipya akalichukua gari bila taarifa kwa kushtaki sina tokea siku hiyo mpaka leo natembelea ngoko funguo noma ilibidi nijifiche mjini loooo
funguo..wewe funguo..una kamtekenyo ka kipekee, unafungua yaliyomo ndani ya mioyo...na kufungia mengine milelewe acha tu nlihongwa ufunguo wa gari nikajiona mie ndo mie mjini hapa looo mjamaa siku alipopata chombo kipya akalichukua gari bila taarifa kwa kushtaki sina tokea siku hiyo mpaka leo natembelea ngoko funguo noma ilibidi nijifiche mjini loooo
mam, hakuna bosi asiye na funguo ya mamlaka yake, hata bam pia anazo funguo za malighafi zote unazomiliki chini ya himaya yako mamPole mwaya,
laiti ungejua alipokupa ungeiingiza sokoni,
ukanunua ya kwako na jina liwe lako,
akileta vya kuleta unampeleka kwa pilato.
pole ntakupa funguo ya gari yangu...uitunze usije upoteza,maana funguo ikipotea ujue mwezio sitarudi homewe acha tu nlihongwa ufunguo wa gari nikajiona mie ndo mie mjini hapa looo mjamaa siku alipopata chombo kipya akalichukua gari bila taarifa kwa kushtaki sina tokea siku hiyo mpaka leo natembelea ngoko funguo noma ilibidi nijifiche mjini loooo