Johnson2012
Member
- Jan 27, 2012
- 93
- 12
nisaidieni mwenzenu nina fungus za miguu zinanitesa sana siwez kutoka na kufanya shuhuli zangu nimemeza dawa za antibiotics na kuweka powder lakini wapi ......?mpaka imeniletea mtoki nahisi homa kali sasa anisaidieni ndugu zangu
dah ebwana tatizo lako kama langu, kwa mwenye kufaham atusaidie.
nisaidieni mwenzenu nina fungus za miguu zinanitesa sana siwez kutoka na kufanya shuhuli zangu nimemeza dawa za antibiotics na kuweka powder lakini wapi ......?mpaka imeniletea mtoki nahisi homa kali sasa anisaidieni ndugu zangu
mi nilikuwa na tatizo kama lako product za forever living zimenisaidia sana kwa kifupi nimepona piga 0718754694 si utani nitafute nikupe tiba
ndiyo ni biashara lakini ni tiba, kama anabisha mwache aendelee na hizo za gharama rahisi halafu aone usumbufu wake, mi niliwaona hata wataalamu wakubwa ikashindikana ila baada ya hizo product nimeponabiashara hiyo! Mpo very strategic, halafu utasikia gharama ni 30,000!