fungus ya miguu inanimaliza

fungus ya miguu inanimaliza

Johnson2012

Member
Joined
Jan 27, 2012
Posts
93
Reaction score
12
nisaidieni mwenzenu nina fungus za miguu zinanitesa sana siwez kutoka na kufanya shuhuli zangu nimemeza dawa za antibiotics na kuweka powder lakini wapi ......?mpaka imeniletea mtoki nahisi homa kali sasa anisaidieni ndugu zangu
 
dah ebwana tatizo lako kama langu, kwa mwenye kufaham atusaidie.
 
Fungus katika ya vidole ni fungus ya kawaida inawezekana wewe mtumiaji sana wa maji, kwani maji huchimbua mwili!! kwahivo vijidudu kama hivo huingia na

kupambana na white blood cells lakini kwa kuzidiwa nguvu ndio fungus hujitokeza, kama fungus uliyoisema wewe ni ya kawaida ila ina kero kwakweli. Kwanza kabisa

kama mtumiaji wa maji sana upunguze yaani sio kutumia maji kwa kunywa laa! kutumia maji yaani kuchezea maji inawezekana ukikoga unatumia maji zaidi au kila

wakati unakosha miguu yako na mambo kama hayo. Hata hivo ipo dawa moja na nafikiri inajulikana sana nayo ni ndimu na jivu. Unachukua jivu unaweka katika

sehemu hiyo katikati ya kidole na halafu unanyunyizia ndimu! Dawa nzuri lakini inawasha sana.!
 
Mkuu dawa hii hapa: kata jani la Aloe Vera dondoshea matone kadhaa ya hayo maji yake kila siku unapolala kwa siku tano tu utapona kabisa. Ili usichafue shuka ukishaweka hayo matone palipo na fungus vaa soksi
 
nisaidieni mwenzenu nina fungus za miguu zinanitesa sana siwez kutoka na kufanya shuhuli zangu nimemeza dawa za antibiotics na kuweka powder lakini wapi ......?mpaka imeniletea mtoki nahisi homa kali sasa anisaidieni ndugu zangu

mi nilikuwa na tatizo kama lako product za forever living zimenisaidia sana kwa kifupi nimepona piga 0718754694 si utani nitafute nikupe tiba
 
mi nilikuwa na tatizo kama lako product za forever living zimenisaidia sana kwa kifupi nimepona piga 0718754694 si utani nitafute nikupe tiba

Biashara hiyo! Mpo very strategic, halafu utasikia gharama ni 30,000!
 
biashara hiyo! Mpo very strategic, halafu utasikia gharama ni 30,000!
ndiyo ni biashara lakini ni tiba, kama anabisha mwache aendelee na hizo za gharama rahisi halafu aone usumbufu wake, mi niliwaona hata wataalamu wakubwa ikashindikana ila baada ya hizo product nimepona
 
Back
Top Bottom