jayec
JF-Expert Member
- Feb 1, 2017
- 599
- 477
Naungana na mdau huyu kwa ushauri wake.Tumia terbinafine(lamisil) cream and terbinafine(lamisil) vidonge kwa wiki 2 cure rate yake ni nzuri.Hakikisha pia miguu inakuwa mikavu muda wote na epuka kuvaa viatu vya kufunika.Griseofulvin for one week Like seriously? Hao fungus tayari ni chronic na washaaform resistance
Cha kufanya...
Tumia strong acting antifungal kama
Terbinafine creame X2 /14 (tube ununue 2)
Na vidonge vyake X1/14
Kama ikifika sku ya 10 ukiona bdo haujapona ni Pm kabla haujamalza dose.
Hakkisha unakausha miguu vizuri kabla haujapaka hiyo creame na ujitahidi kupata Diet inayoongeza immunity hope utaona.
Hiyo ya baharin cfahamu vizur kwa tiba ya fungus but ni kweli many bacteria can't survive mahali penye chumvi.