Fungus za miguu ni shida jamani

Fungus za miguu ni shida jamani

Griseofulvin for one week Like seriously? Hao fungus tayari ni chronic na washaaform resistance

Cha kufanya...

Tumia strong acting antifungal kama
Terbinafine creame X2 /14 (tube ununue 2)
Na vidonge vyake X1/14

Kama ikifika sku ya 10 ukiona bdo haujapona ni Pm kabla haujamalza dose.

Hakkisha unakausha miguu vizuri kabla haujapaka hiyo creame na ujitahidi kupata Diet inayoongeza immunity hope utaona.
Naungana na mdau huyu kwa ushauri wake.Tumia terbinafine(lamisil) cream and terbinafine(lamisil) vidonge kwa wiki 2 cure rate yake ni nzuri.Hakikisha pia miguu inakuwa mikavu muda wote na epuka kuvaa viatu vya kufunika.

Hiyo ya baharin cfahamu vizur kwa tiba ya fungus but ni kweli many bacteria can't survive mahali penye chumvi.
 
Wakuu naombeni msaada ni mView attachment 513591uda naathiriwa sana na fungus za miguu nimetumia aina nyingi ya tube za kupakaa bila mafanikio mara ya mwisho nimepewa vidonge (griseofulvin siku 7)na kozi imeisha jana lakini hali ni tete kama picha Inavyoonyesha hapo chini nifanyeje maana kama kukamulia ndimu sijui maji ya moto na chumvi ndo usiseme
Tumia dawa ulizo pewa ushauri na wenzangu usipo pona nitafute mimi nipate kukutibia na upate kupona haraka.
Ukiwa na Shida yoyote ile
Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu.
 
Mzizi mkavu unayo dawa ya kupata mapacha
 
Bahari sio kinga wala dawa tatizo,una fungal infection nitumie sms au simu 0762208190
 
Wakuu naombeni msaada ni mView attachment 513591uda naathiriwa sana na fungus za miguu nimetumia aina nyingi ya tube za kupakaa bila mafanikio mara ya mwisho nimepewa vidonge (griseofulvin siku 7)na kozi imeisha jana lakini hali ni tete kama picha Inavyoonyesha hapo chini nifanyeje maana kama kukamulia ndimu sijui maji ya moto na chumvi ndo usiseme
Mkuuu dawa ni mafufa ya mgando pakaa. Pia epuka kuvaa soksi miguu ikiwa na majimaji. Ushauri pia usipende kuvaa viatu vya kufunika muda mreefu sana. Naribu kuvaa open shoes siku mojamoja.
 
Ungetafuta na ointment yenye steroid pia na kufanyia dressing. Ukitoka kuoga hakikisha unakausha miguu vizuri na taulo kabla ya kuvaa socks na viatu. Jaribu kuwa na pair Zaidi ya moja ya viatu na uwe unabadilsha kila siku kuacha pair nyingine ipate hewa kwa masaa 24. Matibabu ya fungus ni ya muda mrefu kuwa mvumilivu, fua socks zote ziwe safi usipofua unaweza kupata maambukizi tena baada ya kupona. Usivaliane socks na mtu mwingine.
 
Kula vitu vyenye sulfur kama vitunguu swaumu vaa viatu vya wazi antibiotics na tumia antifungal usiache mpaka upone mambo ya Bahar ni ujinga ndo maana uponi
 
Mkuu pole zinauma hizo vitu..
Hata mie nilikuwa nasumbuliwa na hizi fungus,Whitefield Ndio ilikuwa dawa inayoniponyesha.
Hata kutembea baharini,au kuchemsha maji ya uvugu vugu weka chumvi nawa au loweka kwa muda wa dakika 5-10 ukiitoa,iache kidpgo then ikaushe vizuri Paka dawa ulizoshauriwa.
Then,jitahidi usafi socks,usirudie rudie kuvaa socks ambazo hazijafuliwa,jitahidi kuvaa viatu vya wazi sio kila siku vya kuziba,then ujitahidi ukitoka kuoa jikaushe maji sehemu hizo .
 
Wakuu naombeni msaada ni mView attachment 513591uda naathiriwa sana na fungus za miguu nimetumia aina nyingi ya tube za kupakaa bila mafanikio mara ya mwisho nimepewa vidonge (griseofulvin siku 7)na kozi imeisha jana lakini hali ni tete kama picha Inavyoonyesha hapo chini nifanyeje maana kama kukamulia ndimu sijui maji ya moto na chumvi ndo usiseme
Pole.. Kanunue dawa ya vidonda inaitwa Iodine tincture.. Pakaa kwa siku tatu mfululizo.. Baada ya hapo fungus watakuwa ni historia.
 
Kama uko Dar es Salaam nenda AGAKHAN HOSPITAL kuna professor anaye ingia saa za mchana dermatologist...jina sikumbuki, ata kusaidia! Na utapona kabisa
 
Back
Top Bottom