Seeker Seeker
JF-Expert Member
- Dec 15, 2020
- 213
- 298
Contact him number utasaidiwa.Habari,
Hali ya fungus za sehemu za siri imenitesa kwa mda mrefuuu sana.
Nimeenda hospital zaidi ya 4 unapewa tu dawa ukatumie pasipo vipimo!
Ukishatumia unakaa kama mwezi wanapotea alafu wanarudi tena.
Sasa hivi wameanza kunisumbua kwenye miguu ngozi zinabanduka!
Naombeni Msaada kwa aanyejua kuhusu hili tatizo
Tumia aloe vera hutasikia Tena usimbufu wa fungusHabari,
Hali ya fungus za sehemu za siri imenitesa kwa mda mrefuuu sana.
Nimeenda hospital zaidi ya 4 unapewa tu dawa ukatumie pasipo vipimo!
Ukishatumia unakaa kama mwezi wanapotea alafu wanarudi tena.
Sasa hivi wameanza kunisumbua kwenye miguu ngozi zinabanduka!
Naombeni Msaada kwa aanyejua kuhusu hili tatizo
Shukrani sanaaWakati unapopaka nunua dawa inaitwa grisufluvin unywe kidonge kimoja kila siku kwa mwezi mzima
Ni kama unataka yakushambulie na sehemu nyingine😃😃Mimi nashamvuliwa na mapunye ya jabu miguuni tu
AsanteSwali kwako.
Je unatabia ya kuvaa boxer mbichi au ukitoka kuoga huwa hujifuti? Kua na unyevu muda mrefu pia panaleta fungus tazama hilo. Paka mafuta pia miguun na sehemu za siri.
Mwisho maji kama mnatumia ya tank lisafishe huenda wanatokea huko.
Ahsante sana
Ahahahahhhhh sawaMkuu ulishawahi kucheki HIV kama bado angalia kwanza
inaitwaje kaka iyo dawa kaka dm 062904299 unisaidie kak nateseka mnoNilivoona nkakumbuka kuicheki dawa yangu hii niliinunua kko kwa waLe mahostadhi wanaotoaga dawa pale buku tu mwanangu sku 2 tu unapona na mpka leo nna miezi 4 na na nusi sijawaHi kupata tena fungus mwanangu iyakusaidia kajaribu hata m nlidharau mwanzoni
View attachment 2289076View attachment 2289077