Fungus za sehemu za siri zinanitesa

Fungus za sehemu za siri zinanitesa

Seeker Seeker

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2020
Posts
213
Reaction score
298
Habari,

Hali ya fungus za sehemu za siri imenitesa kwa mda mrefuuu sana.

Nimeenda hospital zaidi ya 4 unapewa tu dawa ukatumie pasipo vipimo!

Ukishatumia unakaa kama mwezi wanapotea alafu wanarudi tena.

Sasa hivi wameanza kunisumbua kwenye miguu ngozi zinabanduka!

Naombeni Msaada kwa aanyejua kuhusu hili tatizo
 
Contact him number utasaidiwa.
+255 678 211 747.
 
Habari,

Hali ya fungus za sehemu za siri imenitesa kwa mda mrefuuu sana.

Nimeenda hospital zaidi ya 4 unapewa tu dawa ukatumie pasipo vipimo!

Ukishatumia unakaa kama mwezi wanapotea alafu wanarudi tena.

Sasa hivi wameanza kunisumbua kwenye miguu ngozi zinabanduka!

Naombeni Msaada kwa aanyejua kuhusu hili tatizo
Tumia aloe vera hutasikia Tena usimbufu wa fungus
 
Nilivoona nkakumbuka kuicheki dawa yangu hii niliinunua kko kwa waLe mahostadhi wanaotoaga dawa pale buku tu mwanangu sku 2 tu unapona na mpka leo nna miezi 4 na na nusi sijawaHi kupata tena fungus mwanangu iyakusaidia kajaribu hata m nlidharau mwanzoni

20220713_173040.jpg
20220713_173051.jpg
 
Mkuu ulishawahi kucheki HIV kama bado angalia kwanza
 
Swali kwako.
Je unatabia ya kuvaa boxer mbichi au ukitoka kuoga huwa hujifuti? Kua na unyevu muda mrefu pia panaleta fungus tazama hilo. Paka mafuta pia miguun na sehemu za siri.
Mwisho maji kama mnatumia ya tank lisafishe huenda wanatokea huko.
Ahsante sana
 
Asante
 
Pole Sana
Dawa Wametaja Tumia Leta Mrejesho
 
Back
Top Bottom