tumia unga wa mdalasini kijiko cha chai 2, changanya na asali kijiko 1. paka jioni kabla ya kulala , kaa nayo kwa 30mnts, then unawe/uitoe, fanya ivyo mfululizo kwa 2wks, matokeo utayaona.
Pole sana, paka pili pili!
Habari wanajamvi!
Naomba kusaidiwa jina la dawa sahihi ya fungus zinazobandua miguu, nimewahi kutumia dawa inaitwa mycota spray ziliisha but baada ya wiki 3, zimerudi na speed ile ile, so naomba mchango wenu wa mawazo. Hali hii inanikera sana coz sioni raha ya kuvaa sandals.
Aisee hii ni bonge la dawa!.. nilikaa na faungasi za miguuni kwa muda wa miaka minane!, kila nikijaribu dawa, inapona kidogo halafu inarudi tena, au inapungua lakini haiishi, mpaka nikaanza kuogopa labda kansa ya vidole imeninyemelea, siku moja nikaona dawa hiyo uliyoisema kwenye mtandao, nikaanza kuitumia, ebwanae! gungus ziliyeyuka kama barafu!.... namshauri mgonjwa aitumia hiyo!.