Fungus zinazobandua ngozi ya chini ya mguu.

kibhopile

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2010
Posts
1,513
Reaction score
765
Habari wanajamvi!

Naomba kusaidiwa jina la dawa sahihi ya fungus zinazobandua miguu, nimewahi kutumia dawa inaitwa mycota spray ziliisha but baada ya wiki 3, zimerudi na speed ile ile, so naomba mchango wenu wa mawazo.

Hali hii inanikera sana coz sioni raha ya kuvaa sandals.
 
tumia unga wa mdalasini kijiko cha chai 2, changanya na asali kijiko 1. paka jioni kabla ya kulala , kaa nayo kwa 30mnts, then unawe/uitoe, fanya ivyo mfululizo kwa 2wks, matokeo utayaona.
 
Pole, kwanza usivae viatu muda mrefu, vaa kwenye special ocatiön. Tumia clotrimazole cream asubuhi na jion baada ya kuoga kwa siku 7. Wakati wa kuvaa viatu pia tumia poda ili kuabsorb jasho ya miguu.
 
tumia unga wa mdalasini kijiko cha chai 2, changanya na asali kijiko 1. paka jioni kabla ya kulala , kaa nayo kwa 30mnts, then unawe/uitoe, fanya ivyo mfululizo kwa 2wks, matokeo utayaona.

Aisee hii ni bonge la dawa!.. nilikaa na faungasi za miguuni kwa muda wa miaka minane!, kila nikijaribu dawa, inapona kidogo halafu inarudi tena, au inapungua lakini haiishi, mpaka nikaanza kuogopa labda kansa ya vidole imeninyemelea, siku moja nikaona dawa hiyo uliyoisema kwenye mtandao, nikaanza kuitumia, ebwanae! gungus ziliyeyuka kama barafu!.... namshauri mgonjwa aitumia hiyo!.
 
Habari wanajamvi!
Naomba kusaidiwa jina la dawa sahihi ya fungus zinazobandua miguu, nimewahi kutumia dawa inaitwa mycota spray ziliisha but baada ya wiki 3, zimerudi na speed ile ile, so naomba mchango wenu wa mawazo. Hali hii inanikera sana coz sioni raha ya kuvaa sandals.

Duh pole sana kwahiyo ukialikwa sehemu ya kuvua viatu mambo yanakuwaje eg majamvi ya ubwabwa wa hitima na nk
 
tumia unga wa mdalasini kijiko cha chai 2, changanya na asali kijiko 1. paka jioni kabla ya kulala , kaa nayo kwa 30mnts, then unawe/uitoe, fanya ivyo mfululizo kwa 2wks, matokeo utayaona.

Asante ikunda.
 
Aisee hii ni bonge la dawa!.. nilikaa na faungasi za miguuni kwa muda wa miaka minane!, kila nikijaribu dawa, inapona kidogo halafu inarudi tena, au inapungua lakini haiishi, mpaka nikaanza kuogopa labda kansa ya vidole imeninyemelea, siku moja nikaona dawa hiyo uliyoisema kwenye mtandao, nikaanza kuitumia, ebwanae! gungus ziliyeyuka kama barafu!.... namshauri mgonjwa aitumia hiyo!.

Much respect
 
Back
Top Bottom