fungus

fungus

mkomavu buzi

Member
Joined
Apr 11, 2011
Posts
76
Reaction score
14
wana JF naomba msaada wenu kuna mtoto wangu ana fungus za ndani ya kinywa na ndani ya masikio kiasi kwamba hasiki vizuri kama mtu anafahamu tiba yake namba anifahamshe.
 
pole sasa

Inaonekana ni kama fungus ya masikio(Ear Fungus),inasababishwa na aina nne za fungus,siwezi kukushauri umpe dawa aina ipi ya kutumia kwa vile sijui anasumbuliwa na aina ipi hasa.Ni vizuri ukampeleka hospitali,kamuone ENT doctor (daktari wa masikio,pua na kinywa)
 
Naungana na wenzangu hapo juu kukushauri umpeleke mtoto haraka kwa daktari..sio tu ENT, bali daktari wa watoto pia, tatizo linaweza kuwa kubwa zaidi ya hao fungus mdomoni au kwenye masikio. Mtoto atahitaji vipimo kujua kwa nini anapata fungus hao kwani si kawaida.
 
wana JF naomba msaada wenu kuna mtoto wangu ana fungus za ndani ya kinywa na ndani ya masikio kiasi kwamba hasiki vizuri kama mtu anafahamu tiba yake namba anifahamshe.

pole sana mkomavu,

mwanangu alishawahi pata fungus za sikio zilimsumbua sana nikiwa dar nilkua nikimtibu agakhani lakini haikusaidia zaidi ya kuendelea kumwongezea fungus kwa dawa zao...... hadi nilipoagiziwa hosp moja huko sinza alipata dawa na hakuwa kuugua tena ugonjwa huo.
 
Back
Top Bottom