fungus

Oi eti dawa ya fungus mapumbuni ni ipi

Dawa ya Fungus Tiba Mbadala.

Mahitaji


Vitunguu swaumu


Maji ya uvuguvugu



Jinsi ya Kutengeneza na kutumia
Menya vitunguu swaumu na uvitwange au kuvisaga hali vilainike
Changanya mchanganyiko wa vitunguu swaumu na maji ya uvuguvugu kwenye kijiko cha chai ili vilainike
Baada ya mchanganyiko huo kuwa tayari chota na uvimeze kama dawa za kawaida


Mambo ya kuzingatia
Kuwa makini kwani kuna baadhi ya watu wanaweza kutapika kwa kutumia mchanganyiko huu ila usiogope kwani baada ya dakika 15 ya kutumia hali ya kichefuchefu itapotea na kuwa kawaida. Unaweza ukaona matokeo ya dawa hii kuanzia siku moja ya matumizi na kuendelea mpaka siku 7.

 

Attachments

  • SAUMU.jpg
    104.6 KB · Views: 122
Unakula kila siku asubuhi kabla ya kula kitu kwa muda wa siku 7. ukisha maliza kula unatakiwa ukae kwa muda wa saa nzima pasipo na kula kitu baada ya saa moja kupita waweza kuala chakula. Kwa Mwanamke mwenye mimba asile pasipo na ushauri wangu kuniuliza au mtu mwenye Presha ya kushuka akisha kula kitunguu Saumu anywe pamoja na kahawa ili kuipandisha presha ya kushuka kwa sababu kitunguu Saumu kinashusha Presha ya kupanda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…