Funny and Crazy Mugabe quotes that will leave you rolling on the ground with laughter

Funny and Crazy Mugabe quotes that will leave you rolling on the ground with laughter

Hiyo misemo mnayo mba mbikia Mugabe ni kumuongezea laana tu huyo mzee
 
'Wee kama mbaya ni mbaya tu usitwambie uzuri wako wa ndani maana hatutembei na X-ray'
JF kuna vituko. Sikudhan kabisa nilipoanzisha huu uz nitakutana na hiv vit. Dah mbav zinauma
 
2016-07-10 00.43.33.png
 
Kuoa mwanamke mzur ni kama kuwa na shamba la miwa karibu na shule

Mugabe
 
Una sura mbaya hadi shetani alipokuona akasema yesu kristo na kuzimia.

Mugabe 2009
 
Watu wanatunga maneno halafu wanamsingizia Mugabe. Asilimia kubwa ya hiyo 'misemo' ni ya kutunga.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom