Funny and Crazy Mugabe quotes that will leave you rolling on the ground with laughter

Mzee anasema ukweli mtupu.
 
Hii kali zaidi
 
M
I will continue to run for the presidency of Zimbabwe again and again until I die.

- Robert Gabriel Mugabe
Mwl Nyerere did many things for the liberations of Africa Continent but never mention any where, no we must do something!
 
Halafu pale ulimaanishs mosquito (mbu) au musquto nao ni msamiati nisioujua?
Mwalimu wa sarufi habari yako? kamusi yangu imeshindwa kunipa maana ya "ulimaanishs" na hiyo "ni msamiati nisiojua?" sijajua ulitaka nani akujibie! Mwalimu wa sarufi kuwa makini wakati unawarekebisha wanafunzi wako, aksante.
 
When using your towel use it with care cause the part you dried your buttoks with today will dry your face tomorrow.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…