Misemo ya mugabe haina busara. Ni ya mtu aiyechoka,mwenye kisasi,aliyeishiwa mawazo,mchovu,mbinafsi,mchekeshaji,muigizaji n.k zimbabwe inafanya nini kwa wananchi wake? Wananchi wake wanashida sana. Siungi ndoa za mashoga na sitokuja kuunga mkono hata niwekewe mabomu mwilini. But tatizo la zimbabwe si ndoa za mashoga tu. Uchumi wa zimbawe upo vibaya. Asimamie kuinua uchumi. Nchi yake imejaa mafisadi pia. Akili yake mzee imechoka alipaswa kupumzika. But ametenda mabaya mengi hawez achia nchi akiwa hai.