Post unachoona ni funny ili kuwaburudisha wengine kwa namna ya utani.
Tofauti ya mwanamke wa kizungu anapokuwa diet na black mamba anapokuwa diet.
Na kila mmoja ametolewa out na boyfriend wake..
Mwanamke wa kizungu vyakula atakavyoagiza..
Ice cream ,maji ,na bite kidogo
Black mamba sasa atakavyoagiza.
Chips kavu na kuku nusu isikauke sana, soseji mbili na ndizi moja isiwe imeiva sana,
Na firigisi isiwe na mafuta mengi sababu yuko kwenye diet.
Huku akimsisitiza muhudumu amuwekee tomato nyingi na kachumbari asimpunje,
Alafu amstue mtu wa vinywaji alete savanna 3 maji makubwa ya Kilimanjaro na Pepsi big.
Hao ndo black mamba