Funny article uzi post hapa chochote

Funny article uzi post hapa chochote

Its Pancho

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
15,966
Reaction score
26,404
Post unachoona ni funny ili kuwaburudisha wengine kwa namna ya utani.

Tofauti ya mwanamke wa kizungu anapokuwa diet na black mamba anapokuwa diet.
Na kila mmoja ametolewa out na boyfriend wake..

Mwanamke wa kizungu vyakula atakavyoagiza..
Ice cream ,maji ,na bite kidogo

Black mamba sasa atakavyoagiza.
Chips kavu na kuku nusu isikauke sana, soseji mbili na ndizi moja isiwe imeiva sana,
Na firigisi isiwe na mafuta mengi sababu yuko kwenye diet.

Huku akimsisitiza muhudumu amuwekee tomato nyingi na kachumbari asimpunje,
Alafu amstue mtu wa vinywaji alete savanna 3 maji makubwa ya Kilimanjaro na Pepsi big.

Hao ndo black mamba
 
Boyfriend :baby umekula.
White girl : yes baby I've eaten.

Black mamba: yaani apa nilipo sina ata mia na nna njaa balaa sijala tangu juzi, alafu naumwa na vocha imeniishia,
Nywele zenyewe zimefumuka yaani nmechanganyikiwa.baba mwenye nyumba ananidai yaani sijui nifanyeje na vicoba sijapeleka marejesho.

Hao ndo black mamba
 
FB_IMG_16005292811281965.jpg
 
Back
Top Bottom