Funny Kenya : sijaiba billion 27,niliiba 7 tu

REDEEMER.

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2015
Posts
8,925
Reaction score
14,890
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Hayo ndio mauzauza yaliyopo kunako failed state

Yaani mtumishi wa umma anasema hadharani kukosoa tuhuma za ufisadi dhidi yake kwa kusema anasingiziwa kwamba ameiba billion nyingi wakati kiukweli aliiba billion chache tu almost nusu ya anachotuhumiwa.

Na bado yupo uraiani anadunda hakuna mamlaka yoyote iliyomchukulia hatua yoyote, dah kweli Kenya Middle income, Zaidi ya 10 counties watu wanakufa na njaa huku mtu mmoja akisepa na millions of money ambazo zingetosha kuondoa kabisa njaa nchini.

JPM you will always be the Saint in Tanzania, tunajua ulipoitoa Tanzania sababu hata sisi tulikua worst than Kenya lakini saivi story kama hizi tukizisikia kwa majirani wenyewe tunashtuka kama ingekua Tanzania ingekua third world War.
 
dah
kwa hiyo billion 20 wajanja waliipiga,halafu wakamuuzi kesi duh,,
 
Hivi unajua Tsh 2.4 Tilioni zimepotelea vote 20 inayosimamiwa na Mtukufu Mtakatifu?!?!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee awekewe ulinzi atapotezwa! Hapo kuna wakubwa wamehusika kuchukua the rest!
 
Tanzania mtumishi wa umma akajisahau aende na kalamu ya office nyumbani kwake anaweza kuvamiwa saa 9 za usiku akiwa juu ya kifua cha mkewe na takukuru na usalama wa taifa
 
Hio takataka ndio huwa inaniudhi sana. Inatuchafulia mazingira. Haitawahi kuwa president. Eti hio takataka inataka kuwa president 2022. Hio takataka ikiwa president basi Kenya tutarudi kuwa Ldc. Mungu atusaidie, Amen. Hio ni maombi yangu chachu.
 
Hio takataka ndio huwa inaniudhi sana. Inatuchafulia mazingira. Haitawahi kuwa president. Eti hio takataka inataka kuwa president 2022. Hio takataka ikiwa president basi Kenya tutarudi kuwa Ldc. Mungu atusaidie, Amen. Hio ni maombi yangu chachu.
Wacha unafiki
 
Haya ni maoni yangu kuhusu huyu mwizi. Kama unashida na maoni yangu then pole sana. I can't help you.
Jubilee ni chama chako na pigia kura, leo ndio ruto amekuwa mwizi? Na alikuwa anaiba kama bosi wake amejitoa fahamu ama waliiba pamoja?
Sababu sasa ruto ni mwizi, jubilee imemvua wanachama ama kumuita kwa kamati ya nidhamu?
Takataka kama nyinyi na unafiki wenu ndio umeharibu kenya
 
Takataka kama mimi. Umewahi niona nikipiga kura?
 
Hio takataka ndio huwa inaniudhi sana. Inatuchafulia mazingira. Haitawahi kuwa president. Eti hio takataka inataka kuwa president 2022. Hio takataka ikiwa president basi Kenya tutarudi kuwa Ldc. Mungu atusaidie, Amen. Hio ni maombi yangu chachu.
Tatizo hakuna wa kumuambia mwenzie acha, wote walewale.
 
km jpm ni mtu mzuri..asingeliwaambia watu wa bukoba waalime waache uvivu....
mbna hzo zaidi county kumi hatuoni wahanga kw news...hhhh...
taarifa zinasema zitakumbwa na ukame..hapo ila hao watu wenye hzo county wanaoukufa km unavyodai..leta ushahidi km hao wa turkana
 
na tena huo ukame kw hzo county zengine..zinakumba maeneo bwadhi...mtu anasema kenya kuna njaa watu wanakufa...akilete picha analeta za jangwa la turkana...kubalini tumewazidi...hta mkafungua thread ngapi mtabaki kuwa nyuma yetu tu
 
geuza ulale hujambo....heheee...umeamua kuitelekeza ile account ya geza ulole..manake jamaa waligundua kitambo km wewe ni kilaza...yani ukija km geza sana sna kw thread za ishu ya bongo...ikifika thread za kuhusu kenya unajiita mkikuyu...heheee...economist bandia...
magufuli akipondwa na ma economist wengine unasema hayo ni magazeti na wakati ishu za mzee baba ziko front page kw hayo hayo magazeti
 
Kenya kuanzia wananchi mpaka viongozi wote mna matatizo, Ruto kachota billions of money ambazo zingetosha kuinua kilimo cha umwagiliaji Kenya nzima muondokane na hizi aibu za kila mwaka kukumbwa na njaa wewe unamuona hero?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…