REDEEMER.
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 8,925
- 14,890
😂😂😂 Hayo ndio mauzauza yaliyopo kunako failed state
Yaani mtumishi wa umma anasema hadharani kukosoa tuhuma za ufisadi dhidi yake kwa kusema anasingiziwa kwamba ameiba billion nyingi wakati kiukweli aliiba billion chache tu almost nusu ya anachotuhumiwa.
Na bado yupo uraiani anadunda hakuna mamlaka yoyote iliyomchukulia hatua yoyote, dah kweli Kenya Middle income, Zaidi ya 10 counties watu wanakufa na njaa huku mtu mmoja akisepa na millions of money ambazo zingetosha kuondoa kabisa njaa nchini.
JPM you will always be the Saint in Tanzania, tunajua ulipoitoa Tanzania sababu hata sisi tulikua worst than Kenya lakini saivi story kama hizi tukizisikia kwa majirani wenyewe tunashtuka kama ingekua Tanzania ingekua third world War.