Funny Kenya : sijaiba billion 27,niliiba 7 tu

Funny Kenya : sijaiba billion 27,niliiba 7 tu

Kenya kuanzia wananchi mpaka viongozi wote mna matatizo, Ruto kachota billions of money ambazo zingetosha kuinua kilimo cha umwagiliaji Kenya nzima muondokane na hizi aibu za kila mwaka kukumbwa na njaa wewe unamuona hero?
nani kakwambia serikali ikiinua kilimo ndio mtapewa chakula bure...wao watauza ama watawaangalia nynyi wananchi...

si mfano ni hko kwenu...mmewapa chakula hao watu wa south..lkn hapo tandale hakuna hta mmoja aliyepewa hta kilo kumi...serikali hutaka kutafuta kiki kw kusaidi nchi zengine kuwapa chakula cha bure....

we uko hapa unakenua meno tu eti tunasaidia mpka matifa ya nje...jiulize mbna watu wa bukoba hawakupewa hta kilo 50 za mahindi...walibakia kupewa maneno wakalime waache uvivu...

ukisema vyuma vimejaza unamuita mpiga dili...
 
Kenya kuanzia wananchi mpaka viongozi wote mna matatizo, Ruto kachota billions of money ambazo zingetosha kuinua kilimo cha umwagiliaji Kenya nzima muondokane na hizi aibu za kila mwaka kukumbwa na njaa wewe unamuona hero?
Hiki kibanda ni cha shillingi ngapi [emoji848][emoji848]
tapatalk_1553015907733.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom