Kwa kweli hichi kipindi kimekua ni cha kuvutia sana tokea nilipoanza kukifuatilia, ndugu Ismail Jussa amekua akichambua vitabu mbali mbali vya kisiasa, kuna mengi ya kujifunza ndani yake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu Bwana Jussa Ismail ni miongoni mwa wanasiasa wangu 10 bora wa muda wote!
Ismail jussa hv alishapona? Huyu jamaaa ni hazina ya siasa za Zanzibar