Funua kitabu na Ismail Jussa

Funua kitabu na Ismail Jussa

Kwa kweli hichi kipindi kimekua ni cha kuvutia sana tokea nilipoanza kukifuatilia, ndugu Ismail Jussa amekua akichambua vitabu mbali mbali vya kisiasa, kuna mengi ya kujifunza ndani yake.

Erythrocyte TODAYS Shocker Mohamed Said Sky Eclat Marco Polo johnthebaptist bagamoyo Missile of the Nation imhotep Salary Slip OKW BOBAN SUNZU King Kong III Zanzibar-ASP Tate Mkuu Babati brazaj Pascal Mayalla Kijana wa jana

Title ya kitabu imenakiliwa kutoka kitabu cha mwandishi Lincoln Steffens
 
Jussa anajitahidi, ila kitabu kimoja kwa kipindi kimoja muda hautoshi, content nyingi inaachwa bila kuguswa...

Waliokaribu na Mohammed Khelef wamshauri kila kitabu kiwe na vipindi at least viwili.
 
Jussa anajitahidi, ila kitabu kimoja kwa kipindi kimoja muda hautoshi, content nyingi inaachwa bila kuguswa...

Waliokaribu na Mohammed Khelef wamshauri kila kitabu kiwe na vipindi at least viwili.

Ni kweli mkuu, hivi sasa naona wameongeza muda kutoka kutumia saa 1 ya kukichambua mpaka saa 1:30 kidogo ni afadhali sana. Ila vitabu vingi vya mwanzoni hawakuvitendea haki vilihitaji muda wa ziada.
 
Back
Top Bottom