FUNUNU: CAF kujibiwa leo mchana na RAIS mtarajiwa ,walimtibua sana jana

FUNUNU: CAF kujibiwa leo mchana na RAIS mtarajiwa ,walimtibua sana jana

njaakalihatari

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
4,081
Reaction score
8,671
Jana wambeya na wasiotakia mema klabu bingwa tarajiwa ya Afrika yaani Yanga sc walifurahia sana taarifa kwamba CAf wamepost huko twitter wakisema team hiyo bora kabisa kwa viwango hapa afrika mashariki itaanzia round ya awali yaani preliminary round

Lawama zote zikaenda kwa msemaji msomi au ukipenda muite RAIS mtarajiwa wa yanga , profesa Manara kwa ile kauli, lakini ile ni kauli ya klabu na yeye akiwa msemaji alifikisha ujumbe kwa jamii

Kauli ya klabu inasimama palepale ,yanga ni bingwa wa Tanzania na ataanzia round ya kwanza siyo ya awali

Tetesi zilizopo ni kwamba kwenye press conference ya leo saa sita ,msomi huyo mwenye degree ya media toka south africa na degee ya siasa toka china atafafanua kwa urefu issue hiyo ya CAF na kina nani wako nyuma ya zengwe hilo kuinyima nafasi yanga ili kuipendelea team mbovu iliyoko katika mgogoro baada ya kupigwa bao la mwaka na fei toto

fununu.JPG
 
Kuna tetesi huku mtaani kuna kiongoz wa yanga amemtundika mimba mleta mada hii halafu akaikataa

Sasa mleta mada ana hasira na kukataliwa mimba hyo
Za ndaani kabisa ni kuwa mhandisi amemtundika mimba msukule,na tajiri kubwa amechukia sana kwani naye anatoka na msukule,kuna mtafaruku mkubwa huko kidimbwini
 
Back
Top Bottom