Smiling killer
JF-Expert Member
- May 1, 2018
- 1,290
- 1,123
Kutokana na jeshi kuwa na disprin na uzalendo maagizo toka juu yamewaagiza TFF kuwatumia wanajeshi kwenye mechi dhidi ya Uganda!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MARA YA MWISHOO.NDUGU ZAKO KUPELEKA CHAKULA.SEGEREA LINII???Kutokana na jeshi kuwa na disprin na uzalendo maagizo toka juu yamewaagiza TFF kuwatumia wanajeshi kwenye mechi dhidi ya Uganda!
Nadhani AnataniaUnawajua fifa?
Kama wao vidume wainhize timu yao ya jeshi kwenyw ligi kuu.
watakuwa wananionea mbona kila sehemu ambapo mambo yanakwama wanajeshi wanapeleka kuyakwamua!?MARA YA MWISHOO.NDUGU ZAKO KUPELEKA CHAKULA.SEGEREA LINII???
Wananchi watafurahi saana maana lazima waganda wapigwe 3-0!Usifanye Uchochezi
Kuichonganisha Serikali Na Wananchi Wake
Tena nasikia watacheza na gwanda!MARA YA MWISHOO.NDUGU ZAKO KUPELEKA CHAKULA.SEGEREA LINII???
Ruvu shooting,Mgambo,Jkt Tanzania,Tz prisons,Police Dodoma,Mlale Jkt,orujoru Jkt etc wachukue kwanza TPLKutokana na jeshi kuwa na disprin na uzalendo maagizo toka juu yamewaagiza TFF kuwatumia wanajeshi kwenye mechi dhidi ya Uganda!
Haha hivi ruvu jkt au polisi dodoma walishawahi kuchukua hata kombe la ligi kuu??
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]MARA YA MWISHOO.NDUGU ZAKO KUPELEKA CHAKULA.SEGEREA LINII???
HahahaaaaaaUnawajua fifa?
Kama wao vidume wainhize timu yao ya jeshi kwenyw ligi kuu.