Fununu ya maombi ya kazi ya sensa 2022

Fununu ya maombi ya kazi ya sensa 2022

Kibumbula

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2018
Posts
3,683
Reaction score
3,349
Wanabodi habarini za hapa jukwaani.Kuna taarifa inasambaa sana kwenye magroup ya majukwaa mbalimbali ya mitandao ya kijamii.Taarifa inahusiana na maombi ya kazi ya sensa.

Ukiingia kwenye hiyo link ambayo wameweka na kujisajiri mwishoni kuna hela ambayo unalipia ili kukamilisha usajiri ambayo ni 350tsh.Pia unaweza kupewa control number ambayo wanasema unaweza kulipia kwenye ofisi zao mkoani au wilayani.

Ajabu ni kwamba hiyo namba ya simu unayolipia inakuja kwa jina Raphael Mtafya.

Wanabodi,kuna ukweli wa hayo maombi kweli?Mbona ukienda kwenye website ya Sensa na Tamisemi hakuna hiyo taarifa?

Wanabodi,ninaomba ukweli wa taarifa hiyo.Ahsanteni.

Screenshot_2022-03-28-10-20-04.png
 
😂😂😂 sensatanzania.com

Hakuna website ya serikali iko hivi ndgu yangu.
 
Back
Top Bottom