funza!

funza!

Ziroseventytwo

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2011
Posts
8,581
Reaction score
15,618
sikuwa najua kuwa bado kuna watu wana mafunza miguuni. Jana nimekutana na m2 ana mafunza miguuni mpaka kwenye mikono. Nilipo ongea nae akaniambia eti familia yake wote wapo kama yeye, wote wana mafunza. Nilipotaka kujua kwanini ameikubali hiyo hali, akaniambia damu yake na watoto wake inapendwa na mafunza. Nilipomwambia kuwa ni uchafu akapinga kwa nguvu zake zote. Hoja ni mazingira yanayomzunguka. Anadai mbona Majirani zake hawapati funza ila yeye tu na familia yake? Kitaalam KUNA DAWA YOYOTE YA KUTIBU MAFUNZA! Ni kweli funza wanapenda aina fulani ya damu?
 
Hapo ni machenical removal then unaapply antiseptic,waboreshe mazingira yawe masafi na usafi wa mwl pia wavae viatu
 
Back
Top Bottom