Funzo: Dunia inazunguka! Huyu hapa "Malik Abdul Aziz

Slim5

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2014
Posts
28,203
Reaction score
37,906
Kwenye hii picha ni Bondia Mkongwe Mike Tyson "Malik Abdul Aziz" akiwa na Rais wa Sasa wa Marekani - Trump! Ambapo UNAAMBIWA
Picha hii ilipigwa Mwaka 1988 kipindi hicho Mike Tyson akiwa amemuajiri Donald Trump Kama Msaidizi wake binafsi kwenye maswala ya fedha lakini leo hii Trump siyo mtumishi wa Tyson bali ni rais wake.
 
Kipindi hicho alikuwa msaidizi kwenye masuala ya fedha lakini bado alikuwa ni tajiri kuliko Tyson.

Napenda sana historia ya Trump kwa jinsi alivyopambana mpaka kufikia hapo.
Wanasema pesa alizikuta ni za babake. Spoon fed japo amefanikiwa kuziendeleza vizuri na kujenga brand yake mwenyewe. Hata urais wake unazidi kujipambanua kivyake
 
Kama huyu Diamond kwa mfano...
Hivi na huyu dogo aliyafahamu haya ya akina Tyson?! Hivi hawa celebrities wanadhani ndo wapo on top of kila kitu bila kufahamu kwamba kuna kesho!!!

Ili kufidia udhalilishaji huo hapo juu, mara atakapoukwaa urais wa JMT, hamna namna; itabidi tu Le Mutuz nae ambebeshe Diamond viatu na nguo za ndani kisha atembezwe kwenye mitaa yote ya jiji la Dar es salaam huku Watanzania wakishuhudia laivu!
 
Basi kama ni hivyo trump amtafutie hata kakitengo cha kuzunguka nyuma yake
 
Ndo msije kushangaa 2040 Gigy Money akaja kuwa Rais wa kwanza mwanamke TZ,dunia duara.
Naaam nisahihi kabisa ".. wakati afande Sele anauma " AY alikuwa hatii mguu level zake "".. lakini sasa Hivi AY ana Pesa nyingi afande Sele hagusi hata Mara 1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…