Uchaguzi 2020 Funzo kwa CHADEMA: Next time msiandae mikutano yenu sambamba na ya CCM!

Unapimaje mafanikio? Au unatumia kipimo cha kiccm kujua mafanikio. Wananchi wamepata ujumbe wa cdm na wale wanaukubali upinzani na kupuuza siasa za kishenzi hawatashiriki uchaguzi wowote unaoandaliwa na tume ya wahuni chini ya mwenyekiti wa ccm.
Hapo unanipeleka kwenye fikra yangu ya pili...yaani mnapenda kuiga mambo ya nchi nyingine yaani mnaangalia sana BBC na CNN wanatangaza siasa zipi halafu mnaiga.

Mkiona maandamano misri mnajigeuza misri.
Mkiona maandamano dhidi ya ukuta wa mexico mnakuja na operation ukuta.
Mkimsikia Obama kaja na slogan ya Change mnageuka Democrats.

Sasa hivi Odinga kasusia uchaguzi mmeshajidai NASA!!

Ndio maana nawaambia siasa za kilaghai zimefika mwisho.
 
Huwezi kuisaidia Serikali kama wakati inapambana na mafisadi wewe unasema wanaonewa.

Wakati inanunua ndege wewe unaona wivu.
Wakati inajenga reli unabeza.!!
 

Siasa za ushindani zitaacha kuisha iwapo mnatumia risasi kujibu hoja? Mnashindwa kwenye box la kura mnatumia ubabe kujitangaza tutaacha kuwapuuza?
 
Na dolar?
 
Hili bandiko umeandika ukiwa na akili timamu au umetumia kilevi chochote? shame on you
 
Kama ccm ndo inakutegemea wewe kwa propaganda ndo nimepata mantiki kwa nini nguvu nyingi zinatumika kwenye chaguzi. Kwa maandiko yako hata mwanangu wa chekechea huwezi kumshawishi kujiunga na chama lenu. Hivi kile chuo kilichokuwa kinafundisha makada wa ccm kilishafungwa? Maana huku wanaandika uharo ?
 
Huwezi kuisaidia Serikali kama wakati inapambana na mafisadi wewe unasema wanaonewa.

Wakati inanunua ndege wewe unaona wivu.
Wakati inajenga reli unabeza.!!
Reli mpya inayojengwa imefika eneo gani?
 
ndefuuu nilifikiri hotuba ya kuzindua kiwanda
 
nendeni mkapitishwe na tume ya uchaguzi bila kupingwa.
 
Karavati zimeanza kuchimbwa na leo hii waziri Mbalawa alikuwa site
Una uhakika au unaongea chochote kinachokujia? Reli inajengwa kwa kuchimba karavati? Karavati zinazochimbwa zilijengwa lini?
 
Elimu bila ada
 
Na US Dollar $ ilikuwa ngapi kwa kipindi hicho hicho?
 
Unapata tabu bure kuwajibu hawa màkarai maana hawa wanafikirià pato kuéngezeka ni kukaa nyumba za shamegi bila kufanyakazi na kupata pesa za búre
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…