Charlez kanumba
Senior Member
- Nov 2, 2024
- 187
- 501
Nisiwachoshe sana, kuna binti mmoja nilitokea kumpenda sana, ila yeye hakunipenda alimpenda mshikaji mwingine, lakini kwa sababu nilihofia kumpoteza binti mrembo kama yule niliendelea kubembeleza penzi na kujipa imani kuwa '0ne day atanielewa na atakuwa sababu hata yule mshikaji mwingine alikuwa katika process ya kumtongoza huyo binti, basi nilijitahidi sana kuhakikisha mimi ndiye nawinn mchezo..
Pamoja na kumpa zawadi kede kede, kumjali na kumuonyesha hisia zangu.. ila juhudi ziligonga mwamba akanambia "Nipe muda ntakufikilia" nikasema it's okay..
Baada ya miezi 2 hivi.. sababu dem alikuwa ana namba yangu ya cm, alinipigia na kuniambia kwamba amenikubalia lile ombi langu..
Nilipata furaha sana siku hiyo nikaamua kwenda kulewa kabisa na washikaji ili kusherehekea penzi langu jipya sababu binti yule nilimpenda sana.
Nilimkaribisha nyumbani kwangu kwa mara ya kwanza, nikamuandalia na chakula, sasa wakati tunapata chakula huku tukiwa zero distance "" ghafla dem akasema anajisikia kutapika, nikamruhusu akaenda kutapika,, aliporudi amekaa kidogo akasema tena anajisikia kutapika nikamruhusu, nikaanza kupata mashaka nikamchungulia kupitia dirishani
Ghafla kwa mbali nikasikia sauti akizungumza na mwanaume akigombezana nae kwamba kwanini amemuacha katika hali ile ya ujauzito.
Nikagundua Bwana kumbe yule jamaa mwingine alimkubaliwa ombi na walianzisha uhusiano wakati ambao mimi nina subiri ombi langu na alifanikiwa kumpa ujauzito na baadae migogoro ikatokea miongoni mwao..hivyo akaamua akimbilie kwangu mimba ikiwa bado changa ili apate mtu wa kulea mimba yake..
Nashukuru Mungu niliaanuka mapema kweli wanawake tuishi nao kwa akili.. unaweza kuzani mwanamke amekukubali kumbe ana lengo lake🙏🙏