Wakati Mbowe amefutiwa mashitaka, umekutana na Rais, amepata support mpaka za balozi , makanisa na viongozi wengine wa dini. Kwa upande mwingine Ndugai anajificha hata hataki kuonekana, hakuna mtu ana mjali alipo,.
Hii ni kutokana na Ndugai kushiba cheo na kujiaminisha kama vile ana nguvu. Nguvu iko kwa wananchi na sio kwa cheo pekee.
Mabaya yatakurudia haraka kama hutendi haki.
Wanaotenda haki na wenye watu nyuma zao hata wakipata shida kwa muda mfupi hao wanasiasa wenyewe watawafuata kwasababu nia ni watu kwenye siasa.