Funzo Uganda: Waziri aua mpinzani aliyemzidi kete

Funzo Uganda: Waziri aua mpinzani aliyemzidi kete

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
16,419
Reaction score
26,594
1599377599530.jpeg

Siasa si ugomvi, na wale wanaochukulia personally siasa kuwa uadui, tuna hili tukio la kusikitisha toka Uganda.

Waziri Mwesigwa Rukutana amashindwa katika kura za awali jimboni kwake na mpinzani wake.

Waziri huyo alipokutana na mpinzani huyo uso kwa uso, akiwa na walinzi wake watatu, akamnyang’anya mlinzi mmoja bunduki na kummiminia risasi mpinzani wake huyo.

Mpinzani kafariki na waziri katiwa mbaroni pamoja na walinzi wake.

Ni jambo la kujifunza sisi watanzania kipindi hiki.
Siasa si uadui.

====

Police have detained the State Minister for Labour Mr Mwesigwa Rukutana following a shooting incident in Ruhama, Ntungamo district in which one person was seriously injured and a motor vehicle damaged.

According to a statement by the Police Deputy Public Relations Officer, Ms Polly Namaye, Mr Rukutana was arrested together with his three escorts.

“The victim was rushed to hospital in critical condition while the suspects are detention on charges of inciting violence, attempted murder by shooting and malicious damage,” Ms Namaye said in the statement.

Mr Rukutana’s reign as the area’s legislator at least on the NRM card came to a shattering end when he was defeated by Ms Naome Kabasharira, the former Ntungamo Woman MP in the Friday party primaries.
 
Tena hizo ni kura za maoni tu ndani ya NRM(Chama Tawala Uganda). Sasa watakapokwenda kupambana na wapinzani wengine si damu zaidi itamwagika? Kuna kitu hakiko sawa kwenye siasa za uchaguzi Afrika.
 
Lisu alipigwa risasi na hawa hawa wanaojifanya wazalendo.
Kuna wanasiasa hawana ngozi ngumu kukabili upinzani dhidi yao.
Mtu akikosolewa yeye analichukulia kama tusi.
Sasa hivi huyo waziri wa Uganda si tu anajutia kosa lake la kuua, lakini kitanzi au maisha jela yanamsubiri.
 
Back
Top Bottom