Fupa la umeme kumchafua Dotto Biteko?

Fupa la umeme kumchafua Dotto Biteko?

Huyu Biteko ndiyo kaja kuharibu kabisa
Tatizo lako huwa ni moja, una hoja za msingi humu jukwaani, ila bila kuondoa ukabila na neno SUKUMA GANG kwenye thread zako basi nyuzi zako zitaendelea kuishia page ya pili. Tatizo la umeme ni tatizo la nchi nzima bila kujali kabila, maswala ya SUKUMA GANG yanakujaje!?,ukiambiwa upewe daftari uandike members ni akina nani utaweza!?.., siku ukijua wanaokwamisha umeme ni akina nani utajisikiaje!?.., Unaonekana mweupe kichwani, hujui chochote kinachoendelea nchini ila umejaa chuki tu. Na siasa zako ni za KIPUMBAVU sana. Bahati yako umejificha nyuma ya Jina fake Jamii Forums.
 
Pole kwa kupatwa na jiwe la gizani sukuma gang. Naona umeanza kunitisha kama ilivyo jadil yenu ya kutisha, kuteka, kupora, na kuua.

Sukuma gang mlikuwa mnapiga kelele sana Makamba alipokuwa waziri. Sasa kawekwa mwenzenu, pamoja na kwamba mvua zinanyesha mpk milima inaporomoka mgawo wa umeme ndiyo unazidi kuwa mkali zaidi. Mbona mko kimya? Msemeni huyo Dotto Biteko mwalimu wa primary ( sukuma gang og).
 
Sukuma gang mlikuwa mnapiga kelele sana Makamba alipokuwa waziri. Sasa kawekwa mwenzenu, pamoja na kwamba mvua zinanyesha mpk milima inaporomoka mgawo wa umeme ndiyo unazidi kuwa mkali zaidi. Mbona mko kimya? Msemeni huyo Dotto Biteko mwalimu wa primary sukuma gang og.
Mkuu bado nasisitiza usipoacha kila THREAD badala ya kujadili hoja unakimbilia maneno ya SUKUMA GANG utaendelea kuonekana UPUMBAVU wako. Wengine wanakuonea aibu ila Mimi huwa sipepesi macho huna akili. Hivi unajua nchi inaendeshwa na nani!?,unajua chochote kinachoendelea nchini kwasasa!?.., wewe ni mjinga mmoja uliyejaza chuki kichwani dhidi ya wasukuma. By the way, Magufuli aliku.fir.a nini mkuu!?,maana naona kaacha kidonda kikubwa huko NY.uma yako mpaka unajadili ujinga tu. Hata ukisikia inatajwa mikoa ya Kanda ya Ziwa mwili unakusisimka.
 
Huyo ni mwehu tu achana nae mkuu. Hajitambui hata theluthi
 
Pole kwa kupatwa na jiwe la gizani sukuma gang. Naona umeanza kunitisha kama ilivyo jadil yenu ya kutisha, kuteka, kupora, na kuua.

Sukuma gang mlikuwa mnapiga kelele sana Makamba alipokuwa waziri. Sasa kawekwa mwenzenu, pamoja na kwamba mvua zinanyesha mpk milima inaporomoka mgawo wa umeme ndiyo unazidi kuwa mkali zaidi. Mbona mko kimya? Msemeni huyo Dotto Biteko mwalimu wa primary ( sukuma gang og).
 
Attachments

  • great-minds-discuss-ideas.jpg
    great-minds-discuss-ideas.jpg
    79.1 KB · Views: 3
Umeme limekuwa pango la vibaka; I am reliably told that Julius Nyerere hydro project was a grant from Egypt; in recognition of supply of River Nile water with sources in Tanzania.
So The Egyptian president visited the country and asked the then president “what could the government of Egypt do to compliment the Tanzanians”
The then president opted for JN hydropower. So the Egyptian government volunteered to finance the project to completion.
What we were then told is that the project is financed by our taxes.
What happened? Mzigo ulipigwa na bado unaendelea kupigwa
 
Mkuu bado nasisitiza usipoacha kila THREAD badala ya kujadili hoja unakimbilia maneno ya SUKUMA GANG utaendelea kuonekana UPUMBAVU wako. Wengine wanakuonea aibu ila Mimi huwa sipepesi macho huna akili. Hivi unajua nchi inaendeshwa na nani!?,unajua chochote kinachoendelea nchini kwasasa!?.., wewe ni mjinga mmoja uliyejaza chuki kichwani dhidi ya wasukuma. By the way, Magufuli aliku.fir.a nini mkuu!?,maana naona kaacha kidonda kikubwa huko NY.uma yako mpaka unajadili ujinga tu. Hata ukisikia inatajwa mikoa ya Kanda ya Ziwa mwili unakusisimka.
Ukiona unasoma threads na comments za mpumbavu kiasi hicho basi na wewe ni mpumbavu. Tumekustahi tu.

Jiwe alikuwa siyo kiongozi. Na siku za usoni tutakuja kuzifuta kumbukumbu za serikali zisimtambue kama aliwahi kuwa rais.

Ndiyo maana watanzania wengi walifurahia kifo chake.
1. Nape Nnauye.......Mungu ameamulia ugomvi.
2. Mzee Makamba......Wema hawafi.
3. Mzee Wasira......nchi imepumua.
4. Askofu Mwingira.......ikulu ilikaliwa na shetani.
5. Mbowe......never and never again.
6. N.k, n.k

Jiwe ndiye mwanzilishi wa sukuma gang. Kama unaipenda sana hii nchi basi ungemkataza Mungu wenu kueneza ubaguzi huu
 
Sina jinsi ya kukusaidia, mjinga anaweza kuelimishwa. Wewe ni MPUMBAVU huwezi kuelewa ndo maana unazidi kuandika Pumba. Eti wema hawafi!!,na ukaamini!?? ndo mwisho wako wa kufikiri!?..
 
.... Huyu Kalemani aliponea mgongo wa udikteta wa jiwe aliyebinya uhuru wa vyombo vya habari na ule wa watu kujieleza. Vinginevyo naye angechafuka tu.

Biteko amewekwa kwenye mtego wa umeme.
Hivi unajua unachoongea! Umeme wakati wa JPM ulikatika??????
 
Hizo Phd za kugawiwa kama maharage hapo UDOM, nazo unazihesabia? Yule akienda vyuo vinavyoeleweka haya Masters hapati. Ana uwezo mdogo sana.
Inaonekana unamjua personally hadi unajua kama uwezo wake mdogo basi sawa
 
Mwalimu wa primary siyo bogus. Lkn hastahili hata kuwa waziri achilia mbali naibu waziri mkuu.

Kiingereza cha sheria za mikataba atakiweza kweli?
Yaani kwako kiingereza ndo uongozi? Mbona unajumisha walimu wote wa primary, basi upewe wewe mwana Sheria ambaye hukusoma hiyo primary.

Yaani aliyefanya ukajua kusoma hicho kiingereza yeye hakijui duh! au ndo sifa za uchawa ?
 
Kwanini wakati wa Magufuli hakukuwa na mgao au ulikuwa uhamishoni nje ya nchi, tatizo la umeme limenza baada ya Makamba kuwa wAZIRI acha kudanganya watu..unajua mambo yaliyofanywa na makamba wizara ya nishati? unafahamu biashara anazofanya makamba na mashirika ya wizara ya wizara ya nishati?
 
Dotto Biteko aliteuliwa 30 August, 2023 na kuapishwa 1 September, 2023. Siku ya kuapishwa mhe rais alitoa miezi 6 kero za umeme ziwe zimemalizika.

Kimahesabu kutoka 1 September 20223 mpk leo 15 December 2023 bado miezi 2 na nusu muda uwe umeisha. Lkn sioni mipango, mikakati wala mbinu za Biteko kuondoa kadhia na kashda za umeme hapa nchini.

January Makamba akiwa waziri wa nishati alionesha mikakati, mipango, dira na mbinu za kuondoa shida na kashda za umeme. Makamba alikuwa mkweli kwa kusema kuwa itachukuwa muda kulimaliza tatizo.

Lkn maadui na mahasimu wa Makamba (ambao kwa sehemu kubwa ni sukuma gang) walikuwa wakipiga kelele kana kwamba matatizo ya umeme kayaleta Makamba. Mama akaona isiwe shida kamteua Dotto Biteko Siwasikii tena kusema ingawa matatizo yanaongezeka lkn kwa kuwa ni sukuma gang mwenzao wameufyata.

Sasa hili fupa la umeme halitamwacha salama Biteko. Litamchafua tu. Kumbukeni akina Karamagi, Msabaha, Muhongo, Ngereja, n.k. Huyu Kalemani aliponea mgongo wa udikteta wa jiwe aliyebinya uhuru wa vyombo vya habari na ule wa watu kujieleza. Vinginevyo naye angechafuka tu.

Biteko amewekwa kwenye mtego wa umeme.

View: https://youtu.be/gdcj5LgWsy8?si=WVs-1v3cH6y3FjIN
 
Back
Top Bottom